KIKWETE ATOA WEEK MBILI KWA MAJAMBAZI KUSALIMISHA SILAHA-LA SIVYO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

AKIONGEA KWA UJASIRI akiwa ngara:ametoa wiki mbili kwa majambazi kusalimisha silaha na kujisalimisha. "NIMECHOKA"tutafanya operation kubwa ambayo haijawahi kutokea KAGERA,GEITA NA KIGOMA kwa kuvishirikisha vyombo vyote vya ulinzi mnavyovijua, akivitaja, JWTZ, POLISI NA USALAMA WA TAIFA.
Ametahadhalisha kuwa wageni waanze kuondoka wenyewe na kurudi nchini kwao, "tutawasaka majumbani kwao, misituni, walikochimbia silaha zao na risasi" - TAYARI NIMESHAWASILIANA NA VIKOSI VYOTE VYA ULINZI"

Source:Chanel Ten.

My take:

Majambazi wasakwe kote nchini kwa mwendo huuhuu. NAUNGA MKONO HOJA!
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wasisahaulike wenye tindikali pia.

    ReplyDelete
  2. Na hata dar jamani

    ReplyDelete
  3. huo ndio mpango angekua anafanyaga maamuzi haya kila wakati hakika nchi ingekua mbali

    ReplyDelete
  4. Bw.mheshimiwai nakupongeza kama kweli umemaanisha hili swala na hii ndio nija itakufanya uwe juu siku zote sababu unatetea raia wako na ushindani wa vyama vya siasa.

    ReplyDelete

Top Post Ad