DAKTARI ANASEMA SINA UWEZO WA KUTIA MIMBA NA NYUMBANI NINA WATOTO WAWILI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nikiwa njiani kutoka mahakamani kusikiliza hukumu ya rafiki yangu aliyehukumiwa miaka 30 nyuma ya nondo kwa - kesi ya kubambikiwa ya kum-baka msichana under 18, msichana mrembo ananiomba lifti, njiani anapoteza fahamu inabidi nimpeleke hospitali.

- Wakati akipata huduma ya kwanza hospitalini hapo, natumia simu yake kuwatafuta jamaa zake, nafanikiwa kuwapata wazazi wake.

-Wakati wazazi wake wanafika hospitali, daktari nae ndio anamaliza kumfanyia vipimo yule msichana na kutueleza kuwa ni mjamzito, muda mchache baadae msichana anapata fahamu, anaulizwa ujauzito wa nani? Msichana anaonyesha kidole kwangu.

-Lahaulaaa..najitetea.... Inabidi daktari anipime na mimi ili kuthibitisha madai ya msichana au la, baada ya dakika kadhaa daktari anakuja na majibu, vipimo vinaonyesha kwamba ile ya msichana hainihusu, vipimo vikasema zaidi, kwamba nina tatizo nililozaliwa nalo, kwamba sina uwezo wa kutia mimba.

-Naondoka hapo mawazo tele, maswali tele, nyumbani nina watoto wawili....

Hebu nisaidieni maswali ya kumuuliza my waifu wangu.

Source:JF
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hayo si ndo mambo ya kuvunja ndoa!,hiyo ndo hupelekea watu kukataa vipimo vya DNA.Lakini kwa nini mkeo akusaliti?.Bora kutafuta mgumba ili uishi naye!

    ReplyDelete
  2. Baba umeliwa huna chako zaidi ya boxa tu

    ReplyDelete
  3. Bro kilichobakia hapo ni kuigiza mapenzi

    ReplyDelete
  4. si kweli mavipimo nuksi kuna mwanaume alikataa mtoto wakaenda kupima dna ikasema kweli mtoto si wake ila ni wake asilimia mia sababu huyo mwanamke hakuwa na mwanaumemwingine na mtoto sura ya babake mtupu

    ReplyDelete
  5. wala ucmuulize we piga kimya then tafuta hospital nyingne ukahakikishe tena labda vpimo vilitoka vbaya nahata kama ukikuta kwel pga kimya ndugu yangu ndomaisha yalivyo unakuta hata mkeo hawajui bb wa watoto hao "so piga kimya"

    ReplyDelete
  6. Huna haja ya kuuliza. Wachukue watoto kimyakimya kawapime dna ukigundua ci wako kauka pia. Unataka ufe bila watoto, si bora mkeo kaficha aibu yako. Kisha anza kumfuatilia mkeo kama ana mabwana wa nje umkanye ila usumwache. Kwan wew hujawahi kumsaliti? Usimhukumu maana usikute nawe wamsalit sema tu huwez kubeba mimba kama mwanamke..

    ReplyDelete
  7. doktari hana uwezo wa kujua chochote we kapime wanao kwanza ukijua sio wako muulize mkeo vizuri akikibali ishi nae msamehe mlee watoto wenu its ok life will keep going on pengine hata wewe sio mtoto wa baba yako lakini unaishi kwa matumaini baba ni baba ili mradi watoto wanajua we ni baba yao tosha

    ReplyDelete

Top Post Ad