Katika Facebook ya Diamond Platnumz ambayo sijui kama ni yake kweli Muda si mrefu ametupia hii picha na maneno haya hapa chini akiomba msaada:

"Can you guys plz help mi kunibembelezea... coz my baby is mad @ me, aliniambia nimletee ice-cream nikirudi hom bt unfortunately nikasahau  ... look at her, hatakai hata kunitazama wala kunisemesha... she's jus busy on the phone... Can you guys help me plz " Diamond

 
Top