MAKALIO FOR SALE JAPO HUJAWEKA KIBAO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Unapiga Picha unaandika maneno mazuri tu na kupost Facebook ama Instragram ,''Asante Mungu kwa siku hii ya Jumatatu,AMEN'' Halafu picha yenyewe umepiga makalio umegeuzia watazamaji.Kwani kuna uhusiano gani wa Makalio yako na siku ya Jumatatu???Au unamaanisha yana shape ya Jumatatu?Halafu wengine basi tu mnapenda kuweka lakini wala shape zenyewe sio kiivyo,sio kwa sababu yule kaweka basi na wewe unatuwekea mkusanyiko wako wa viazi vitamu na kaukau,unajishushia heshima.Sio kila kitu ni cha kuiga,hamjui tu tunawatafsirije huku mtaani...Buttocks FOR SALE japo hamjaweka kibao!ASANTENI
--------------------------
Seth De Jesus Giovanni
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wengi wao huwa wako kimatangazo zaidi ,ujue facebook ishapoteza maana halisi wengi wao huja kutangaza soko lao la ukahaba .

    ReplyDelete
  2. hayana mvuto usirudie tena

    ReplyDelete

Top Post Ad