NAMPENDA SANA MUME WANGU ILA YEYE HANIPENDI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wana jamii mimi mdada mwenye umri wa 27 na mume wangu mzee nampenda sana lakini yeye hanipendi kila siku ananigeuza punching bag la kufanyia mazoezi na tuna watoto wa 4 nafikiria kumtoroka sema naona watoto watapata shida wanaendelea na masomo hapa naomba ushauri wenu

Source:Jamii forums
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ni vizuri kwanza kuelewa shida hio ya kutopendwa kiini chake ni nini alafu utaitatua shida yako. kawaida yetu binadamu hatukumbali makosa yetu sana sana wake mwataka ng'ang'ana na mume na ndiye kichwa cha jamii wapata pale mwanaume aona haeshimiki ka kichwa ndipo mwanamke aanza kuonelea hapendwi. jaribu kubaini chanzo cha hio na utapata suluhu.

    ReplyDelete
  2. Nivema uelewe na kujifunza toka kwake kuwa mumeo kitugani ambacho hakipendi au tabia ipi ambayo inamfanya akuchukie? kisha jilekebishe

    ReplyDelete
  3. Kashakufanya kiwanda cha watoto sasa anakudunda ili uondoke avute Chuma kipya,miaka 27 watoto wa4 duuh.

    ReplyDelete
  4. duh shida ni nin kwan?

    ReplyDelete
  5. pole ila mwambie ukweli kwamba anakutesa.

    ReplyDelete

Top Post Ad