AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
VIDEO: Shilole muongo, ana uwezo mdogo kifikra. JLo aliongea nae lugha gani!? – Sintah ndani ya “Take One,”
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
uyu sinta mpuuzi sana!!time yake ilipita asepe kulee
ReplyDeleteWewe Sinta pia english zero usimcheke mwenzio afadhali yake shilole aliefanya interview kwa kiswahili. ..... eti mwenyewe ndio umejikakamuaaaa kuongea kizungu ....hukijui shost
ReplyDeleteKweli Sinta ni mnafik tena anadharau. ... shilole think big... think positive hata mungu ametuasa tujiombee mema makubwa na mazuri tutayapata. ... Sinta wivu unakusumbua.... miwani km kobe
ReplyDeleteIvi inakuwaje mtu unasoma nakujiita msomi kisha kingereza kinakupiga chenga pia kiswahili unaongea cha mtaani yaani mkato mkato wakihuni!! Uggrrr
ReplyDeleteKuhusu shilole I think ana big dream na sio mbaya kabisa, ila Sintah anavyo mzarau mwenzie sio poa kabisa! Mfano kama yeye Sintah anavyo jiita JLO kwani yeye anahadhi ya JLO!! Si anadream big kama Shilole?? Embu Sintah muache mwenzio apumuwe jamani khaa ! Unaudhi kusema kweli cheei
sintah unazarau sana i thnk shilole she is right people should dream big hakuna ubaya alichokisema shilole.wacha unafiki wewe si mungu .sintah kumbuka mungu si athuman.wacha kumkejeli mwenzio.shilole all da best dear may ur dreams come true inshallah
Deletejamani ndoto kila mtu anaota lakini pia angalia lakusema kwanza Shilole atamshirikisha Jlo kwa njimbo gani atulie ajifunze kutunga then awashiarikishe wasanii wahapo Africa Mashariki kwanza je Shilole njimbo ipi ameimba na msaanii hata wa hapo Kenya
ReplyDelete