WALTER CHILAMBO AFUNGUKA BAADA YA NEY WA MITEGO KUSEMA ANAMAISHA DUNI..LICHA YA USHINDI WA MIL 50

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baada ya maneno na tuhuma nzito za Ney wa Mitego dhidi ya Mshindi wa Epiq Bongo Star Search mwaka 2012, Walter Chilambo kuwa 'huenda' amedhulumiwa zawadi yake ya ushindi, Shilingi Milioni 50 na waratibu wa shindano hilo kwa sababu mpaka sasa yupo katika maisha duni, Msanii huyu amevunja ukimya na kusema kuwa yeye yupo vizuri tu.
Walter amesema kuwa maneno haya hayana ukweli wowote na yeye anaishi vizuri tu na kwa Ney, Hadhani kama alikaa chini na kufikiria kabla ya kuongea kuhusiana na issue hii katika wimbo wake, wala hakufanya uchunguzi wowote ambao uliomhusisha yeye.
Walter amesema kuwa yeye na Ney hawana ukaribu wowote, na walishawahi kukutana hivi karibuni na alipomuuliza ni kwanini amemuimba vile katika wimbo wake, Ney alimwambia kuwa 'asipanik' then akapotezea na mambo issue nyingine na kisha kutimua zake.
Walter amemaliza kwa kusema kuwa, Maneno haya hayamuumizi vile hayana ukweli wowote, na vilevile hayawezi kumuondolea mashabiki wake.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Achana na hili bwege la freemason,halijielewi linaimba nin

    ReplyDelete
  2. Walter ma bro do your things si lazima uonyeshe ufahari kwa kila mtu huo ni ushamba achana na uyo boya angeimba taarabu tu basi maana ndo kunapo mfaaa hip hop ayupo uyo Baba temana nae we ni mkali Walter kip it up ishi maisha yako ya kawaida tu kama and usimpliz kila mtu maana si binadamu ma snitch long live walter

    ReplyDelete
  3. Huyo ney mpumbavu anataka uwe unalewa na kutembea na malaya ovyo ufahari kujionyesha na magari huo ni ulimbukeni walter tulia fanya yako taratibu maisha c kukurupuka weka mzigo bank zichange huyo mlevi ney atakuja kukuomba mia 2 badae maisha c kukurupuka ngoja tusubiri akimaliza kusema watu atahamia kwa wazazi wake anatakiwa akaimbe taarabu.

    ReplyDelete
  4. senge lile linajiona lijanja kumbe boya

    ReplyDelete
  5. dunia ni ya MUNGU1 na ndie tunae mwabudu achana nae huyo anaejigamba freemason.....mxciuuuuuuuuu

    ReplyDelete

Top Post Ad