WASHABIKI MOMBASA WASHINDWA KUVUMILIA WASANII WENGINE WAPIGWA CHUPA WAMTAKA DIAMOND TUU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Diamond Platnumz alithibitisha kuwa ndiye msanii anayependwa zaidi Afrika Mashariki baada ya mashabiki wa Mombasa kuwarushia chupa wasanii wengine waliokuwa wakitumbuiza wakimtaka yeye apande kwenye stage baada ya kumsubiria kwa muda mrefu.


“Diamond was forced to appear on stage hurriedly after fans who had been waiting for his performance for hours started hurling bottles on the stage when other artists were performing. But once he took the stage, his fans never went back to their seats,”wameandika NTV.

“They had been kept waiting for too long for their prince, even the master of ceremony was not spared he was booed as the fans demanded that Diamond be brought to the stage,” imesema taarifa hiyo


ANGALIA VIDEO HAPA KILICHOJIRI:
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. dah huyu chalii anakubalika mazee ukweli ndo huo..those waiting for him 2 fall down watakesha sana asee

    ReplyDelete

Top Post Ad