DIAMOND" NA NYIE NAO MZAAGE SIO KULETA MAPENZI YA UONGO YA TEAM FLANI MARA YULE TEAM FLANI..WIZI MTUPU"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Diamond Platnumz hataki kusikia cha Team Wema wala cha Team Penny, wote anawaona wale wale tu wenye mapenzi ya uongo  na  kama  vipi  wamuache  maana  hana  njaa  ya  penzi.
  

Staa huyo wa  bongo  fleva  ambaye bado yupo nchini China, ametoa kauli hiyo jana alipokuwa akimpongeza ndugu yake kwa kupata mtoto

Naye Wema Sepetu jana amerejea Dar akitokea Hong Kong ambako alikuwa kwenye mapumziko ya muda  ambako  alikutana na Diamond kukumbushia penzi lao.

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Heee! Nkajua yeye ndo mwenye mutoto, na yeye azae basi

    ReplyDelete
  2. Hana njaa ya penzi baada ya kupitia warembo wenye majina makubwa mjini, lol kwel umeshiba dimondo

    ReplyDelete
  3. piga mawe hao wa ma team, HAMNA LOLOTE eti teamwema, teampenny umbea mtupu

    ReplyDelete
  4. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  5. Umegundua leo bro,hao wako kipesa zaid na hawana mapenz ya kwel.

    ReplyDelete
  6. Wambie mana kaz kutwa kushnda kwenye blog ku2kanana. Manungayembe yalokosa kaz

    ReplyDelete
  7. Diamond umenenaaaa wema mburula Kaandunje penny mbulura Yuko kimaslai zaidi.nyumba za mbezi beach zinakosesha watu Amani.

    ReplyDelete
  8. Wema ana penz la kweliiiii ushuz

    ReplyDelete
  9. Hahahaaa! Aya ingizen xaxa hizo team zenu uwanjan!!! Diamond mwenyewe kashawaona wote mamburula mliokosa kaz mwenzen ana-make pesa...nyie mamburula
    Kaz tim wema cjui tim jokate. Ha2jawah ona wa2 wanagombana kumchagulia m2 mpenziii kw kuanzisha vitim!! Hamna kazi??????

    ReplyDelete
    Replies
    1. toa urofa hapo wewe kwani umeambia wema hamake pesa? Getting pregnancy does not make him to stay anaweza akaendelea kufanya ushuzi wake huko nje ilihali wewe unahangaika na damu yake ndani tena funga domo lako teaaaaaam wemaaaaaaaaaaa

      Delete
  10. Kazi hatuna,ww anony hapo juu unayo?team wema mpo juuuuuuuuuuu!!!mwache aongee ila anjua wapi anapata usingizi muruuuuaaaa!!!chezea wema www?utalala stendi!!!

    ReplyDelete
  11. Domo karusha jiwe gizani PWAA!! limetua kwa bedui sasa ana wawaya! Yeye ndo alikazania Team wema umesikia bedui hataki upuuzi wenu mnanusa hela wote.

    ReplyDelete
  12. Hlo jiwe limempta andujne cz akt anafikiria kuandika si alikuwa na wema china domo anazuga tu km alivozuga na watuache tulale baadae saut ya wema inaskka akicheka hahaha domo tushakujua drama zako wala hazitukosesh usingiz mbona,kuku wa kwetu ww wala hatuna haja ya kukushikia manat au tuvunje miguu kukukimbiza..........TEAM WEMA hapaaaaaaa

    ReplyDelete
  13. sasa kwanini umeshindwa kumpa mimba ?

    ReplyDelete
  14. Dai mswahili kishenz atakayemuoa ana kazi,pili ni kweli walikuwa wanaigiza movie nimeona picha za makamera kwa beatrice mdogo wa wema insta wakiwa wanashoot na aunt ezekiel

    ReplyDelete
  15. Hahahaaa kuna mdau kanifurahishaa wapo weng jaman mmenifurahisha, na kweli alivoandka huo ujumbe alikua china na kmwana wemaa so anatuzuga tu na huo ujumbe unamuhusu peenselii, team WEMA mpooooo??

    ReplyDelete

Top Post Ad