RUFAA YA BABU SEYA, PAPII KOCHA KILICHOBAKI HUKUMU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nguza Viking ‘Babu Seya’ (kulia) na mwanaye Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ wakitoka mahakamani kwa furaha.
Nguza Viking ‘Babu Seya’ (wa pili kulia) na mwanaye Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ (wa pili kushoto) wakiwa mahakamani.
Babu Seya na Papii Kocha wakiwa na furaha nje ya mahakama.
Baada ya majaji wa Mahakama ya Rufaa jijini Dar es Salaam kupitia hoja za mawakili wa serikali na utetezi kwenye Rufaa ya hukumu ya kifungo cha maisha jela katika kesi iliyokuwa ikimkabili mwanamuziki Nguza Viking ‘Babu Seya’ na mwanaye Johnson Nguza ‘Papii Kocha’, wameamua kuhairisha rufaa hiyo mpaka tarehe husika ya kutoa hukumu ya kesi hiyo itakapopangwa hapo baadaye.
(Picha na Richard Bukos / GPL)

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. lakin umbu tujiulize kama watu wazima hii kesi inaukweli ndani yake ama kweli siku ya qiama tutaona siri nyingi za dunia unamtesa mwenzio miaka kadhaa gerezani kwa sababu ya mamlaka yako...mwenyezi pekee ndio hakimu wa haki.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hakuna ukweli wowote ndani yake my Dear . Niuonevu wakishetani walio fanyiwa,na Mungu ndio atakuwa muhukumu ! Kesi yote ilitengenezwa hakuna ufisadi unao shindikana bongo, kaa utafakari. I'm so happy wametoka

      Delete
  2. Mabaya yote Unayomfanyia mwenzio malipo ni hapahapa Duniani.Mungu awape afya ili sikumoja haki itakapotendeka basi uhuru wao waupate wakiwa na afya tele.

    ReplyDelete
  3. Ipo siku ukwl utakua wazi na hta waluohusika na kutoa ushahid wa uongo ipo siku nao watalipia shida na mateso walitopata .Life is game but is not fear.mungu awatie nguvu

    ReplyDelete
  4. Alhamdulillah! Mungu wetu ni mwema. Unawatesa wenzio kwa muda wa miaka kumi sijuwi,nabado unakula unashiba na unasinzia kabisa! Hakuna ukweli wowote ndani ya kesi hii ni uonevu na unyanyasaji.. Papii na Mzee Nguza natumai mmemfunza kitu kwa unyama mlio fanyiwa and kikubwa nikamuachia Mungu awe muhukumu msiseme chochote

    Asante Mungu baba kwa kukubali dua za wanao! I'm so happy wameachiwa:) Hakuna Mungu kama wewe aaah×2

    ReplyDelete
  5. Tuweke wazi....kwa hiyo unamaanisha kuna mtu anatumia madaraka yake kuwakandamiza hawa jamaa??? Ni nani huyo tuka nae mbali

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unataka tuseme ni nani ili na sisi tuvikwe kesi yakubaka watoto ama!? Tunaogopa kwenda jelaaaaa lol

      Delete
    2. Kesi imetengenezwa nani anaweza fanya uchafu kama ule na wanawe Wakuwazaa.Hukumu ni hapa hapa huwezi tesa wenzako milele ndio maana ukiona mikosi mingi na mambo kila wakati hayaendi sawa jitahidi kufikiria ulikosea wapi

      Delete
  6. Are you selling your car??
    we are helping you to find customers....send pics and details here...
    email: bare4011@gmail.com

    ReplyDelete

Top Post Ad