DIAMOND "PICHA AT STUDIO WITH MY BOY DAVIDO TUKIANDAA NUMBER ONE REMIX"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Natanguliza shukrani kwa mashabiki zangu wa
 kweli ambao siku zote nipo kwa ajili yao,kila siku nalala/naamka 
nikifikilia niwaandalie nini kizuri kwa ajili yao..nashukuru
 jinsi mnavyoipa sapoti nyimbo na video yangu ya number one
 ikionyesha ni kiasi gani mko pamoja na
 mimi..hivi karibuni nilipata fursa ya kuonana na mwanamziki mkubwa
 kabisa Afrika na anaeliwakilisha
 vyema kabisa bara letu la Afrika kimziki,..
namzungumzia Davido,kila mtu anafaham uwezo mkubwa alio
 nao linapokuja
 swala la mziki,na katika kutafuta namna ya kuwapatieni taste tofauti 
mashabiki zangu na zaid kukuza mziki wetu 
wa Tanzania..tulikubaliana mimi na Davido Tutengeze
 number one remix  yenye vionjo vya Skelewu na ngololo.
.bila shaka mliokuwepo fiesta mlipata fursa ya kupata kionjo kidogo cha kile 
tulichokifanya ...tazama kwanza picha za nyuma ya pazia mimi na

 Davido tukiwa studio tukiandaa remix ya number on

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. WE DOMO MSENGE KWELI,YAANI HADI CLOUDS WAKULETEE MSANII HAPA NDO UFIKIRIE KUFANYA NAE KAZI,HIVI HUO MUDA AMBAO UNAUTUMIA KUPONDA RAHA NA MALAYA ZAKO HUKO MALAYSIA,DUBAI,CHINA NI KWA NINI USIITUMIE KUSAKA WASANII AMBAO WANAMAFANIKIO MAKUBWA NA UKAZUNGUMZA NAO MKAFANYA MAMBO MAKUBWA KUUTANGAZA MUZIKI WETU HUKO! WE UMEKALIA UMALAYA,SIFA,KUVAA,KUBADILISHA MADEMU NA MAMBO MENGINE KIBAO YA KISENGE TU BADALA YA KUWAZA MAENDELEO! KWANZA HUYO DAVIDO ANAKUONA FALA SANA,YAANI YEYE AJE KWENYE MISHE ZAKE WE NDO UMDANDIE ETI KUFANYA REMIX,TATIZO SHULE HUNA YA KUTOSHA NA HATA ELIMU YA BIASHARA PIA ZERO!

    ReplyDelete
    Replies
    1. imekuuma enh? Kajinyonge au kunya gogog lakin diamond ndo anapasua anga. Ana pesa ndo mana anafanya anacho jickia.

      Delete
  2. we jamaa hapo juu unavyompenda Diamond na kusifia pesa zake inaelekea bwana wako au anakufila mkundu

    ReplyDelete
  3. David ni mtoto wa bilionaire ila anaona hazitoshi anatafuta zakwake Diamomf mtoto wa maskini naye amejituyumua kashajipatia visenti vyake ila naungana na mtoa comment wa kwanza Diamond punguza wanawake concetrate katka kazi zako hasa za kimataifa una nafasi nzuri zaidi kama ukitulia kidogo mwanzo mzuri big up Diamonf

    ReplyDelete
  4. Davido katoka familia njema anapesa balaa! Big u Domo. .mshikilie huyo jamaa anapesa mbayaaa

    ReplyDelete
  5. Acheni majungu basi....kwani AY collabo yake ya kwanza na p square aliwafuata c walikutana dar kwenye shoo...acheni izo davido kamuelewa diamond kama diamond alivomuelewa davido...angalia coke studio uone watu wanavokubaliana sio ujungu tu bongo...diamond ndo anakimbiza saiv mda wake wa kuchuja bado mpaka atokee mtu amfunike ka vp imba ww basi tukusikie.....DUXES####

    ReplyDelete
  6. huwey mfananisha AY NA msanii yeyote..kama ni kolabo kapga na wasanii wakubwa sana..diamond akifwata nyayo zake atafika mbali sana zaid ya hapo

    ReplyDelete

Top Post Ad