DIAMOND"I REAL LOVE MY PENNY, SIJARUDIANA NA WEMA SEPETU..ACHENI UONGO"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya kusambaa kwa taarifa za Diamond Platnums kurudiana na Wema Sepetu, Diamond kupitia website yake leo ameandika…. “kumekuwa na Uvumi na habari nyingi sana Mitandaoni na kwenye Media tofauti kwamba mimi na Wema Sepetu tuna mahusiano ya Kimapenzi, kitu ambacho sikweli na taarifa hizo ni za uongo.. uvumi huu ulianza kisa tu yeye kucomment kwenye Account yangu ya Instagram?..

‘Hebu tujifunze kubadilika, inamaana watu mkiwa hamko kimahusiano basi msizungumze ama Kushiriki kwa chochote? Futeni huo uzamani na mbadilike, inamaana mnapenda kuona watu wanauadui… ni muda wa kufanya kazi ili Kulipa sifa na heshima Taifa la Tanzania na si kuekeana chuki zisizo na faida, I REAL LOVE MY PENNY,SIJARUDIANA NA WEMA’ – Diamond Platnumz

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

46 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Alafu huyu jamaa ni mzushi ndo anachezea those fools akili..Si alimrekodi wema kwa kujishaua mpaka akamdhalilisha kusema kuwa eti wema bado amamtaka na anavuruga mapenzi yao ,sasa inakuaje now anachat na wema kama kawaida instagram..ile ilikuwa kumzuga penny tuu na kama mtu ameshafikia hatua ambayo unahisi anaweza kuharibu uhusiano wako au furaha yako then is ur enemy na ya nn kuwa na contact nae..Nosense and Fools people ..Diamond i m sure he is good guy but inabidi absdilike ajieshimu na aache ushamba stop acting like little boy and change to be a Men..

    ReplyDelete
  2. Haya2husu utajijua mwenyewe mzinifu mkubwa!c umuoe ili uache zinaa mzinifu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau umenena, Diamond u are not a school boy and Peny is not a school girl kama kweli mnapenda na TBS yako (mama yako) ameshapitisha kuwa Peny ni bidhaa safi kwanini basi msioane kabisa uachane na hizi drama???? au hizi drama ndo zinakuongezea umaarufu kwenye sanaa yako???

      Badilika dogo au unaogopa majukumu??? utaendelea na uzinifu mpaka lini na hao machangu wako wanajisifia kabisa. Wema umeishi nae ndani kama mke kwa almost a year, same applies to Penny ambaye mama yako kampitisha kwa ubora sasa what are you waiting for???? if you are not ready for married why are you playing wth our sisters' feelings???? unafikiri siku ukija kumuacha Penny huyo bint atakuwa kwenye hali gani, thanks to God kwamba Jokate hamkudumu kwa muda mrefu. Kama umeamua kuwachezea wadada basi tafuta minungayembe iliyoshindikana na uibadilishe kila siku asubuhi mchana na usiku na sio unawadanganya mabinti wa watu unawaweka ndani kama wake zako halafu unawapotezea.

      Na nyie mabinti muwe makini jamani huyu jamaa ni muoga wa majukumu na bado hajajitambua hebu kuweni makini naye anawatumia nyie ili kuendelea kuliweka jina lake kwenye headlines every day.

      Delete
  3. Diamond mswahiliiiii mshambaaaaa yan tabia za halima kimwana ndo za diamond kabisaaa ndo mana wako marafiki,wema achana na mtoto wa tandale atakuaibisha kila siku hafai hata kidogo angesoma labda kidogo angejifunza kuwa gentleman otherwise hafai ni star ana pesa ila hafai size yake peny

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahahaha umenifurahisha wangu.

      Delete
  4. Eti pen pen kama mwapendana sana muoane!2mewachoka.

    ReplyDelete
  5. Kiukweli ingawa huwezi kijifunza kila kitu darasan lakini elimu nayo inamata someone should go back to xul

    ReplyDelete
  6. Kwanza diamond sura mbayaaa domo hiloooo kamekondeana ka kana ngoma,pamoja na mihela hangai jamani hata ukizaa naye mtoto inakula kwako atakuwa mbaya tu wema pls move on he aint worth it no matter what check video ya bday yake mtoto wa kiume kashaukwaa anakimbia kimbia na,watoto wa kike what a crap alafu akicheza kama stedi shoo mbayaaaas in linda bedui voice ptuuuuu size yake penita

    ReplyDelete
  7. Haaaaaaaaa! Muwaache walaleeeeeee, mbona mnatoka mapovu???

    ReplyDelete
    Replies
    1. No.aoe,anaharibu Madada zetu kisa awe maarufu.hawaoi ni kuwakalisha kinyumba tuuu.Malaya mkubwa kama huna ngoma hutakuwa unabahati mnooo

      Delete
  8. Tafuta umaarufu kwa mafanikio siyo uzinifu! Umekua sasa kila siku wewe tu kwenye blog na issue unazotengeneza mwenyewe usituFanye watoto wenzio, umekua sasa acha ushamba dogo.

    ReplyDelete
  9. duh inaonyesha ni jinsi gani watu jamani mnampenda wema looh!nimejifunza kitu hapa huyu mdada pamoja na kusemwa hovyo but anapendwa

    ReplyDelete
  10. Kuna mapenzi hapo mapenz ya wawil sio ya kwenye pic ya kujionesha tu ushamba

    ReplyDelete
  11. Aliyeandika kwenye blog ya diamond ni peny jamani watu tushajua mchezo mzima dai alikuwa hong kong leo yuko naija hehee na yuko na madame pole wee peny unadanganywa waz waz unaona

    ReplyDelete
  12. huyo diamond mshamba tu, hajaenda xul

    ReplyDelete
  13. huyo penny&diamond ndo imekua topic?,fanyen yen jaman,

    ReplyDelete
  14. alivyoeleweka;
    DIAMOND PLATNUM AWAPONDA MASHABIKI WAKE NA WANAOMFUATILIA WASIWE WAVIVU WA KUJIFUNZA NA WAACHE UZAMANI.
    waungwana mmemuelewa kijana?

    by SOCIALIST

    ReplyDelete
  15. Diamond akipima akakutwa Yuko safi ashukuru Mungu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Maaana hizo number anazopitia mi zanitia Shaka.

      Delete
  16. Hahahahha...! Jamani no mater what u say diamond most people will never buy the dact kwamba wewe unampenda penny... Kusoma hatuwezi sawa ina maana hata picha hatuoni...? Hakuna mapenz hapo., tatizo mlikurupuka sana., haya mahusiano ya kuanza in weeks, miezi mnahamia wote mnajuana tabia mkiwa ndani ndio matokeo yake.. Penny mama sijui unasubiria nn maana naona aibu kubwa mbele yako., bora usingechoropoa mimba labda kidoogo., "labda" diamond moyo wake ungekuwa kwako.. Na ujue kwamba wema is not the reason for this., maana kumbuka uko na diamond still alikucheat na uwoya., does wema has anything to do with it? Ni tabia yake tu huyo amka mama, usimuwekee wema hasira muwekee diamond wako maana hako ndio katabia kake., kingine kigumu kwako ni kwamba unaonekana mjinga creating a beef with "YOUR EX-BEST FRIEND" after taking her "X-BOYFRIEND" .. Wanaotetea huu upumbavu wako wanakuchoresha.. Move on before its too late mamaa.. Wanaume wako wengi., mbona umepitia list ndefu.? Y ukwame hapa? Huu ni muda wa kucorext ur wrongs.. Do it for yourself, your family too i gues hata sheiza kaka yako hapendezwi na hili jambo linaloendelea., alikuwa anamchukulia wema kama mdogo wake coz u guyz were best frendz., sa hvi anaona tena mdogo wake anatoka na diamond hu dated her best frend., umeiaibisha familia yako for sure, even ur family knows ur dirty now., plz corect ur wrong. Ts not too late.. Nakwambia hivi out of love.. Kiroho saaafiiiii

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mamake mwenyewe anaonekana kahaba,hivyo,hiyo aibu itoke wapi usikute mamake ndo kamtuma ili wapate pesa ya kula

      Delete
  17. Mbona mnaongea bila kutumia akili?ulishaona boyfriend mwenye majumba na pesa anaachwa?penny ngangana nae mpaka akuoe,jumba la mbezi beach usiliache.mlogeee akuoe shoga.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Penny mdogo wangu you will be wasting your time and one day u will regret.Diamond is stii young and egenetic.He does not love u at all.Pata picha slikuja kwenye mahujiano ns ww mkaanza kuwasiliana mwishowe mkaangukia kuwa wapenzi.Ogopa sana toka mwanzoni Diamond alipokuwa anahojiwa anasema ww ni rafiki tu.Je alikuwa na haja gani yakuuongopea umma kama kweli alikuwa anakupenda?mapenzi gani hayo unayotumia nguvu nyingi kuuthirishia umma kama uko nae?usoni unatabasamu ila moyo wako unavuja damu kwa jinsi unavyougulia na hili penzi la mahaba niue.Let him chase u and not u chase him.

      Delete
    2. Wenzio tulikuwa kwenye mapenzi ya mahaba niue kwa muda mrefu yaani ilikuwa kila mara unajeruhiwa ila unavumilia mwisho wa siku ilibidi nifanye maamuzi magumu nikafanikiwa.Sasa hv nina amani na furaha zote.Mapenzi ya one way traffic ni mabaya sana

      Delete
  18. Nonsenc na ataloga ataolewa cku madawa yameisha anatimuliwa ndo pale kashakua mbibi anarud hana soko nan atamtaka ng'ang'ania mama mwisho wko mchunguu adi huruma

    ReplyDelete
    Replies
    1. Penny unakumbuka ulivyokuwa unamsema Wema juu ya Diamond kama ni mbaya na hana hadhi yakuwa na Wema?kiko wapi mbona matapishi ya mwenzio umeyarudisha tena kinywani?Hivi huna ndugu?unaiaibisha mno mno familia yako.Hayo mapicha yenu yakubusiana midomo yanatutia kichefuchefu.Hakuna jipya ni ushamba tu.

      Delete
    2. Hy blog yenyewe wewe ndio unablog.Unashinikiiza watu waamini unapendwa kumbe ukweli wa mambo upo moyoni.Wakina Halima yao yameshawashinda na wala hata hawana uchungu ns ww.Mawifi ndio makuwadi wakubwa kwa kaka zao.Utaloga na ndoa utaipata ila huta enjoy hiyo ndoa.

      Delete
  19. Penniel hawezi kusettle na mwanaume kwa sababu she is not acting like a lady.. Mwanamke anavuta bangi, sigara, anakunywa kupindukia, hawezi kubehave kama mzichana kutwa mikelele utadhani muda wote anatangaza tv.. Mbaya zaidi ana skendo ya kubwia unga, ts time for u to change, diamond may not go back to "wema" as he sayz, ila kumbuka wema is not the only girl to consider, kuna wanawake wazuri na wabichi ambao wamemzidi hata wema kwa uzuri na wanatani wawe na diamond hata wapate kik.. Change., dress like a lady, act like a lady, talk like a lady and behave like a lady.. Hiyo ndio siri ya kumteka mwanaume shoga sio vibuyu.. Mwanaume akitoka kwenye shughuli zake au hata hanging out na frendz wake akirudi hme anataka amkute mwanamke sio vile unavyofanya wewe, mifujooo, kelele, kuvutana, unavuja majasho, kichwani una lemba tena umelifungia kwa mbele basi hata kuku kiss ni shida... Mmh change mamaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Amuulize mwenzake Johari wa bongo movie anavyopata tabu kwa Ray kwa ajili ya mapenzi ya mahaba niue.Johari aneivest hela nyingi kwrnye RJ kampuni.Mwanaume hana adabu kutwa kumtenda vibaya Johari wawatu.Mbaya zaidi RJipo nyumbani kwa kina Ray.Johari maskin ya Mungu hana jinsi inabidi tu aende kazini ila vitimbi anavyofanyiwa na Ray ni mkristo ushike moyo.Mahaba ni ue noma sana jamani.Wanawake wote amkeni mliokuwa kwenye mapenzi ya mahaba niue.

      Delete
  20. Penny yule mtu mzima wa DTV ndio anakufaa.Ulikuwa unaenjoy na amani tele wakati ulipokuwa nae.Tamaa za kumpkonya mwenzio bwana zimekutokea puani umeangukia pua.Loo pole wewe.Diamond alikuwa anataka akugonge mara moja halafu kila mtu aendelee na maisha yake.Leo hii yupo na ww kwa shinikizo la watu.Pole sana watu ndio wameushikilia uhusiano wako.Huruma sana.Jitambue Penny.Watu hawakusaidii lolote zaidi yakukusema.Kutwa wanakusema jinsi unavyotumia nguvu nyingi kwa diamond.Mapenzi ya attention ni mabaya sana.Tumia hizo nguvu kufanya kazi kwa bidii ili uivest uje kuwa tajiri.Kuivest kwenye mapenzi ys mahaba niue ni kujipotezea muda wako

    ReplyDelete
  21. Mm nasikitika na bi sandra mamake diamond .Kwanini hamketishi mwanaye diamond chini kumweleza kwamba kwanini aishi na mke wakati hajamuowa.hiyo ni zinaa mamangu. Diamond mwanayo Muslim afanya mambo kinyume na dini.kesho utakwenda jibu nn kwa mola wako. Diamond avaa dhahabu. Wakati wanaume wamehalalishiwa silver. Fikiria maisha ni mapito kesho kuna kwenda mbele za haki

    ReplyDelete
    Replies
    1. Dhahabu ni kwa wanawake silver ni wanaume,wee ni muislamu gani?makubwaaaaa,na penny anakupenda kwa kuwa una mkwanja na una majumba bila hivyo ungeteseka baba angu,usione watu wanagombania wewe ni pesaaaaa na majumba kila mtu sasa atataka umuoe ili arithi mijumba uliyonunua.

      Delete
  22. Mama mwenyewe ataka ujana achukuliwa kila sehemu kama pochi. Mwanayo diamond ana uwezo mbona humwambii akupeleke Hajj kama yy mwenyewe daimond hajafikiria kwenda. Ikiwa mtu nimemkwanza samahanini

    ReplyDelete
  23. Hivi kila cku Diamond Diamond ni nini jamani? mm namuona huyo D ndo ambaye ana matatizo, na anawachezea Penny na Wema, nyie mnabishana mwenzenu anaongeza umaarufu kupitia malumbano yenu.

    ReplyDelete
  24. Jamani kuna clip instagram yaonekana diamond alikuwa na wema before aje kwenye birthday alioandaliwa na penny. Diamond asema yalotendeka hapa jamani yabaki hapa hapa. Swali walifanyaje na wema. Maana wema alikuwepo aunty hao dancers na dai. Nendeni instagram musikilize
    Lazima aloandika kwa account ya diamond ni penny

    ReplyDelete
  25. daidomo kimenuka angalien ista kumbe ulikuwa na madam hong isitoshe unakadem london mnapeana raha..pole pensel uchongeo umeisha nn?i feel sry f u mamy..i know hyo post umeandika ww c domo..tafakali chukua hatua

    ReplyDelete
    Replies
    1. demu wa london ni Naj,yule aliyekuwa anatembea na Mr blue,Diamond nae,kwanza blue alikuwa anatembea na wema,then daimond akamkwapua wema,then blue akatembea na Naj,diamond aKAKWAPUA nAJ,bLUE AKAMAIND AKAMPIGIA SIMU DIMONDO,DIMONDO .......mtamaliza wenyewe.

      Delete
  26. penny ananiudhiii,kuvuta sigara,bangi,mipombe,du weee muislam safi kweli?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau hata mm hicho kitu ananiudhi... Haswa kwenye mabangi.. Kuna siku mm nilibahatika kumuona amelewa yani hadi unajiuliza kanywa kitu gani.. Nilishindwa kuvumilia nikanong'ona kidogo na wamjuao., ndo kuambia kachanganya bangi na pombe.. I hated her from the moment...

      Delete
  27. Penny hujishtukii tu????? En u dai u nid bbygel...utakay kua nae anyplace c hyo p..sor but she's not ur type

    ReplyDelete
  28. Uroho unakutokea puan pensel,ukwapu kwapu umekuzid mtoto wa kike hutulii macho juju juuu km paka shume embu angalia unavopta shida nw raha ya mapenz hamna ht

    ReplyDelete
  29. Yoooote Tisa kumi kipindi kileeeee penny alivyokuwa anamponda Diamond kuwa Ana sura mbaya awaendani na wema sepetu,haha sasa mwenye sura mbaya umebeba wewe.anyway hela kwanza sura baadae.

    ReplyDelete
  30. Penny kipindi kileee alikuwa anasema diamond is ugly awaendani na wema.mpyuuuuu

    ReplyDelete
  31. Raha kwenda mbele kuna pic zimezagaa insta za dai na wema za Hong Kong kibeo kwa team wema. Dai adaisha ni movie.haloo pensile leo lazima bp ipo juu

    ReplyDelete
  32. WE DIAMOND DOMO NDOMONDO WACHA UKUMA AISEE CHALII KMA NAMNA GANI WAOE WOTE WAWILI WE SI MUISLAM SASA UNAOGOPA NINI

    ReplyDelete

Top Post Ad