JOKATE AFICHUA MAZITO!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Na Waandishi Wetu

KUMEKUWA na maneno mengi juu ya uhusiano wa kimapenzi kati ya staa mwenye vyeo vingi Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ na mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kisha staa wa kikapu wa NBA ya Marekani, Mtanzania Hasheem Thabeet Manka.


Kwa mara ya kwanza mwanadada huyo amefunguka kupitia mahojiano maalum (exclusive interview) na gazeti bora la burudani Bongo, Ijumaa Wikienda na kufichua mazito nyuma ya pazia.


Jokate ni Miss Tanzania namba 2, 2006/07. Ana kofia nyingi kama mtangazaji wa Channel O, mwigizaji, mwanamitindo, MC, mwanamuziki na video queen wa nyimbo za Bongo Fleva.

DAKIKA 150
Katika mahojiano hayo ya dakika 150 (saa 2 na nusu) yaliyofanyika katika Makao Makuu ya Global Publishers, Bamaga-Mwenge jijini Dar es Salaam, Jumamosi iliyopita, pamoja na uhusiano wake na mastaa hao, Jokate anayependa kucheka na kuachia tabasamu pana, alifunguka mambo mengine mengi;

Ijumaa Wikienda: Jokate kuna taarifa kuwa uliwahi kuwa na uhusiano na Hasheem Thabeet. Je, ni kweli?
Jokate: Ni kweli. Nakumbuka ilikuwa baada ya Miss Tanzania 2006. Ilikuwa kitu kama 2007 au 2008.
Ijumaa Wikienda: Uhusiano wenu ulidumu kwa muda gani?
Jokate: Miaka miwili…mitatu (kicheko).

Ijumaa Wikienda: Ulikutana wapi na Hasheem na ilikuwaje?

Jokate: Tulikutana kwenye maonesho ya mavazi kwenye Ukumbi wa Water Front, Stesheni jijini Dar. Mwanzoni tulisalimiana lakini hakukuwa na chochote kwani nilikuwa nikikutana naye nacheka vile alivyo tall (mrefu). Naye alicheka tu.

PENZI LA HASHEEM
Ijumaa Wikienda: Ilikuwaje hadi mkaingia kwenye mapenzi?
Jokate: Baada ya kuwa washkaji tukiendelea kuchati, tulijikuta tumependana sana. Mimi nilijikuta nikimpenda sana Hasheem na bado nampenda sana lakini kuna mambomambo tu yalitokea kila mtu akawa kivyake.
Ijumaa Wikienda: Maisha yako ya kimapenzi na Hasheem yalikuwaje?

Jokate: Aisee usipime…nakumbuka tulikuwa tunanunua matunda tunakaa kwenye gari tunakula. Tunatoka wote sehemu mbalimbali japo hakupenda kujianika.
Ijumaa Wikienda: Una kumbukumbu yoyote mbaya kwa Hasheem?
Jokate: Wala…japokuwa kuwa watu walikuwa wananiona nimeharibika. Labda namfuata Hasheem kwa sababu ya fedha au vyovyote walivyosema lakini mimi nilimpenda sana.

Ijumaa Wikienda: Kabla ya Hasheem kulikuwa na mwanaume mwingine?
Jokate: Yaah…lakini sipendi kabisa kumzungumzia. Namchukulia Hasheem kama mwanaume wangu wa kwanza.

‘USICHANA’
Ijumaa Wikienda: Unaposema hivyo ina maana Hasheem ndiyo alikutoa ‘usichana’.
Jokate: Nisingependa kujibu hilo lakini hadi natoka kwenye Shindano la Miss Tanzania 2006, nilikuwa sijamjua mwanaume. Nafikiri nikisema hivyo inaeleweka.

KWA NINI ALIACHANA NA HASHEEM?
Ijumaa Wikienda: Umesema ulimpenda sana Hasheem. Je, kwa nini mliachana, kumwagana au kupeana likizo?
Jokate: Ilitokea tu halafu akatokea mwanaume aliyenikuta kwenye msongo wa mawazo akawa ananiliwaza nikaona yees…nijipoze moyo.

Ijumaa Wikienda: Kabla ya kuachana mliwahi kugombana?

Jokate: Kugombana ni sehemu ya mapenzi. Ni kuonesha kuwa mnapendana. Ilitokea hivyo kwangu kwa sababu Hasheem alikuwa na heshima tofauti na wanaume wengine. Nahisi hakuna kama yeye, alinionesha alikuwa ananijali kwa kiasi gani.
DIAMOND ALIMTIBULIA
Ijumaa Wikienda: Inasemekana mwanaume huyo ni Diamond.
Jokate: Yap…ni yeye lakini kulikuwa na vitu vingi akatumia nafasi au fursa kama wanavyosema siku hizi.

ANGEMTONGOZA MWAKA HUU ANGEKULA ZA USO
Ijumaa Wikienda: Ilikuwaje?
Jokate: Sijui…ilitokea tu. Nilikuwa kwenye hali fulani akatumia nafasi hiyo lakini angenitongoza mwaka huu nisingemkubali.
Ijumaa Wikienda: Jokate haukuwa mtu aliyetegemewa kugombea mwanaume na Wema Sepetu. Huoni kuwa uliharibu mtazamo wa watu juu yako?

Jokate: Kama nilivyosema sijui nini kilitokea.
Ijumaa Wikienda: Kwani ulikutana wapi na Diamond?
Jokate: Nakumbuka nilimwalika kwenye maonesho ya mavazi yangu. Watu wengi walikuwa wakisema kuwa nimemtoa uswahilini hadi ushuani. Sikupendezwa na watu walivyokuwa wanaponda.


Naye ni binadamu, anahitaji kila kitu anachohitaji binadamu mwingine. Ukweli ni kwamba yaliibuka maneno mengi mno. Baada ya hapo kweli alikuwa ananijali sana.


HAMKOSI MWANAMKE
Unajua jamaa anajua kuimbisha na ndiyo maana anawapata wanawake wengi. Mara ananiletea chakula, zawadi, nikitaka kwenda sehemu ananipeleka. Alikuwa anataka kwenda na mimi kila sehemu.
Ijumaa Wikienda: Vipi kuhusu kufumaniwa na Wema ukiwa na Diamond hotelini?

Jokate: Nakumbuka siku moja nilikutana na Diamond hotelini kuzungumzia kazi kabla sijaingia kwenye uhusiano naye, mara Wema akatokea, alipotuona akaondoka zake. Sasa sikujua nini kinaendelea. Huku na huku nikasikia eti Wema kanifumania jamani…hahahaa…
Ijumaa Wikienda: Ulidumu na Diamond kwa muda gani?
Jokate: Kama miezi miwili hivi...


Ijumaa Wikienda: Wakati unaingia kwenye mapenzi na Diamond hukujua kama yupo na Wema?


Jokate: (akiweka uso wa kazi) Nimesema sijui nini kilichotokea na nilikuja kujikuta najuta kuwa na Diamond japo naye ni binadamu.
Ijumaa Wikienda: Uhusiano wako na Wema ukoje?
Jokate: Simchukii Wema. Sina tatizo naye. Unajua lilipotokea lile tatizo la yeye kunikashifu niliona nikiendeleza malumbano haitakuwa busara.

Ijumaa Wikienda: Kwa nini uliachana na Diamond?
Jokate: Unajua Diamond ni mtu wa kujitangaza kuwa sasa nipo na huyu na mimi sipo hivyo so hata hapo sijui nini kilitokea lakini nitafanya naye kazi. Kuna wakati nilimwambia aniandikie wimbo ‘so’ tupo kikazi zaidi.
Ijumaa Wikienda: Unajuta kuwa na Diamond?
Jokate: Najuta. Ndicho kipindi ambacho kuliibuka mambo mengi sana.

SIRI YA DIAMOND KWA WANAWAKE
Ijumaa Wikienda: Diamond ni mwanaume wa aina gani?
Jokate: Mcheshi sana. Anajua kujali. Anajua kuzungumza na mwanamke kwa maneno matamu ndiyo maana akimtokea mwanamke hamkosi.

Ijumaa Wikienda: Diamond na Hasheem nani akikurudia unakubali?

Jokate: Hakuna lakini ukweli nilimpenda sana Hasheem.

ZAWADI
Ijumaa Wikienda: Kati ya Diamond na Hasheem nani zaidi kwa zawadi?
Jokate: Naona sasa unataka kumkasirisha Diamond!
Ijumaa Wikienda: Tangu ulipoachana na Diamond una zaidi ya mwaka. Je, huna mpenzi mwingine?

Jokate: Nipo singo au unanishauri nani ananifaa?
Ijumaa Wikienda: Siwezi kuingia kwenye moyo wako wakati umesisitiza kuwa unampenda Hasheem!
Jokate: Yap…nilimpenda na ninampenda sana.

MWANA-FA VIPI?
Ijumaa Wikienda: Mbali na Hasheem, Diamond na huyo jamaa wa zamani, vipi kuhusu habari za wewe kutoka na mwanamuziki Hamis Mwinjuma ‘Mwana-FA’?


Jokate: Afadhali mnisaidie kwa sababu sijui hicho kitu kilianzia wapi. Ni uzushi tu uliosambazwa na mtu mmoja.

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

42 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mapaja yote nje, wasanii bwana sijui waliambiwa wakivaa uchi ndo wanapendeza mwe sasa nini hicho

    ReplyDelete
  2. wasanini wa bongo wete malaya tu!

    ReplyDelete
  3. na hasa wema sepetu kazidi kwa umalaya do!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kweli watu mnampenda wema bila kujijua.. Shez ALWAYS ON UR MINDS.. Sasa hapa kaingiaje..?

      Delete
  4. siku hz 2mechoka kuona mapaja 2nataka kuona kuma zenu malaya

    ReplyDelete
  5. siku hz 2mechoka kuona mapaja 2nataka kuona kuma zenu malaya

    ReplyDelete
  6. wasanini wa bongo wete malaya tu!

    ReplyDelete
  7. Replies
    1. Umemtomba..????? Mxiiiiiuuuuuuuu mwanaume kama binti...

      Delete
  8. visit dis link n make money online,..
    http://www.getpaid4visits.com/index.php?refcode=14827

    ReplyDelete
  9. Mmmh JOKET unadhubutu!!!!! Coz najaribu kuimagine hilo jidudu la HASHEEM?? Coz alivyomrefu nahic hilo dudu khatar!! Miaka 3 ya uhusiano wenu inatosha uchi wako kucopy mazingira ya hashim inamaana k**a yako inakina kirefu so kumpata mtu akufikishe km Hasheem itakuchukua muda.na ndo maana kila ukiulizwa oooh nampenda hasheem nakm ndo alikua wa kwanza hahahaaaaa hicho kina chako kumpata wakukuridhisha mayb uitishe intervew!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hihihi.. Na mm nalowaza sana hilo... Maana hashim jamani... Noo way.. Ndo maana labda akamn'ang'ania dimondo maana na yy si wanasema kajaaliwa.. Labda alikuwa anamkuna kidogo

      Delete
    2. Hahahahahaaaaaaaaa...!!

      Delete
  10. Hii inaitwa bongo makata!Ss kma unampenda hyo tolu ci umrudie ssa unatuambia Ss tufanyeje!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hashim ana demu wake mzuri mnooo jokate atasubiri alafu wanapendana sana amrudie wa kazi gani yeyw arudiane tu na diamond au mzee machache

      Delete
  11. Ww uliemtukana wema kama ni mwanamke kuma yako, na kama ni mwanaume sura kama pumbu zako

    ReplyDelete
  12. Mbona kila k2 unasema hujui nini kilitokea?wewe ulianmzisha uhusiano na diamond wakt unajua yuko na wema na hashim alikumwaga baada ya kuchitna diamond,at dai anajua kuimbisha,mbona wanaume wapo wengi wenye sifa hizo? Huna lolote hua unachagua majina makumbwa,

    ReplyDelete
  13. Mbona mababa hayataji au kwa vile wame za watu?

    ReplyDelete
  14. Lol....Usimclaim Hasheem kwa muda huo uliyokuwa na alikuwa na mademu wengi tu....lol. Wow!Hivi uoni aibu kujiabisha.lol. Nenda kaulize historia ulezwe wangapi walikuwepo.Kama ndo ulikuwa demu wake wakweli mbona kwenye draft night 2009 hatukuona?Je alivyozaa in 2010 ulijua?Lol...Bora tu useme kwa Tanzania alikuwa ndo anakudate kwasababu utachekwa dada angu. Hasheem alikuwa na mmarekani mzuri na ata ukiangalia video ya draft alikuwepo na mamayake na huyo demu. Na baada ya hapo wakana wengi zaidi...Kwahiyo wewe sema tu ulikuaga one of the gals.

    ReplyDelete
  15. Hivi huyu Joketi anachanganyikiwa au nini?Hivi ujui Hasheem alikuwa na demu wake wazamani tangu enzi za sinza?Sasa ndo nini kujifanya kama ndo ulikuwa first love?Lol.

    ReplyDelete
  16. MANGE KATOSWA NA MASHOGA ZAKE SASA HIVI WANASHINE BALAA.
    NO ROOM FOR NEW FRIENDS.
    ATAISOMA NAMBA MWAKA HUU.
    MACELEB WALA HAWAVAI NGUO ZAKE NA SIE TU KINA MTOGOLE ALIOKUWA ANATUDISS

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ok nimesoma post vibaya au umepotea njia bidada..??? KAKOJOE UKALALE.. Mange mange.. Mumiache sasa mbona hana muda na mtu siku hizi.. Kwani umesikia wasanii tu ndo wananunua pamba kali.. Kwanza wengi wao ndio wanaongoza kwa kugongea.. Ptuuuuu umenchefua kwa kweli

      Delete
  17. Dar ngumu kibiashara wewe wema anavalishwa na director joan,wolper anavalishwa na kiki bado kuna botique kibao nguo zao ni usipime kama celebrity,city star,amina fashion,bora muwe wabunifu kina mama nguo kaz sana

    ReplyDelete
  18. ww mtoto kilakitu sijuwi kilicho tokea hivi sisi unatuona watoto sana.acheni umalaya tena nyiye umalaya wenu ni mbaya sana wakujitangaza kwenye vyombo vya habari yani diamond hashim kila mtu ajuwe wamekulala ndio maana huwa nashindwa kuolewa unabakia kuwa gubegube tu

    ReplyDelete
  19. Mmmh nyie huyu dada kashafumuliwa marinda yote ya uchi... Biologically Hasheem anadisability iitwayo "GIANTISM" ni opposite ya disability ya DWAFSM "duafu".. Na giantism inaenda kwenye kila part ya mwili.. Vidole, miguu hadi dude yake.. "M a doctor in the making" so najua mtu wa hivi anakuaje... Sasa nawaza bidada yetu huko chini yupoje...? Maana atakuwa kabaki bwalo.. 3 yiarz.??? Nooooma sana

    ReplyDelete
    Replies
    1. MASIKITI JOKETE NDIO MAANA HATA DIAMOND ALISHINDWA, DO! KAZI UNAYO SASA UTAMPATA NANI KWA SHIMO HILO AKUTOSHELEZE?

      Delete
  20. Huyu chiz aliepotea na hbr za mange humu ndan vp??? After ol anaonekana ana chuk zke bnafs mxiuuu mange nw hana mudaa ww ndo unamda mdada kajambee

    ReplyDelete
  21. mzee machache?mzee wa crdb?mbona unawatenga uwasemi?

    ReplyDelete
  22. Katika kuma we ndo kuma unae mzungumzia mange pasipo na vuzi.wala paja,,,,kumbe mnamuwaza eh eh eh mpaka mnatia huruma,,,

    ReplyDelete
    Replies
    1. ndio tumezipata habar zake, atauza tu maronya lakin hatavalisha maceleb.
      KIMEMSHUKA KWELI KUKTAZWA NA DR KUJA BONGO, HIVI WATU HUWA WANAFIKIRI KUOLEWA NA WAZUNGU NDIO KUTATUA MATATIZO, FULL ANAHANGAIKA NA MIZIGO NA MIMBA KUBWA BADALA YA KUPUMZIKA, ETI MASHAUZ YANAHTAJ PESA, FULL UMACHINGA.ONA KINA TEDDY KALONGA WANAVYOKULA RAHA

      Delete
  23. we joket mi nawaza urefu inshu yako umezid lakin usjal me zaid ya hasheem ntakufikisha huko unako taka kufika ntafute uone kaz utamsahau hata hasheem kwan ni utam balaaaa "kila saa nampenda hasheem"

    ReplyDelete
  24. Nakumbuka siku zile za mwanzo ulipokuja ukaniambia hasheem anadude kubwa ukiliona mpaka unaogopa na kwamba linakipa raha sana....duh sipati picha best

    ReplyDelete
  25. Nakumbuka siku zile za mwanzo ulipokuja ukaniambia hasheem anadude kubwa ukiliona mpaka unaogopa na kwamba linakipa raha sana....duh sipati picha best

    ReplyDelete
  26. Jaman mie nilipata mwanaume anadudu kubwa usipime nilivyoliona tu wacha niogope ila mwenyenalo anajua mahaba hatari yan anakuchezea akija ingiza dudu lake ndani kama mlenda likianza kupikichua utamu unaosikia hapo ni hatariiii ila ilani halifai kwa matumizi ya tigolaization kabisa...Tunda la msimu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Shost akijua kitumia TAMUJE!! Mi ninae bibi cku ya kwanza ckuamin macho yangu nlitaka kumkimbia! Anavyojua kuniandaa ss alinianzishia robo nusu ss naimeza yote!!ila niliinywea diclopa km miez 6!!TATAZO cwez kumuacha akiniikera nikitafuta wengine hawanifikishi narudi kwake!! Ucombe kuzoea dudu kubwa JOKATE unakaz ya ziada...

      Delete
    2. Mwenyewe tumeachana ila siku zikinipanda nampigia tunakumbushia chezea dudu kubwa wewe ni tamu balaa...Tunda la msimu

      Delete
  27. MANGE MIPANGO YAKO YA BABY SHOWER KAMA YA DIVA KWISHINEI

    ReplyDelete
  28. Hahahaha we unae hangaika na.mange unachekesha huna hata supp't huchoki,,watu wamechoka hz story,,,unataka tumchambue? Bs hzo za zamani,,,yani kitambo sanaa mama fanya yako,,

    ReplyDelete
    Replies
    1. unataka nani anisapot?kumbe unakoment ili watu wakusapot nilikuwa sijui

      Delete
    2. Kama hutaki support unachomekea ya nini story za mange sehemu isiyo husika ama unadhan huyo hapo juu ni.mange na hashm,,,,,ama kuna ki2 unataka kuwa muwazi usaidiwe,,,nini tatzo unataka viwembe vya kunyolea vuzi?

      Delete
  29. Nani,,,kwani hujui,,,wapambe wasenge wenzako,,,kuma la mama ako povu linakutoka kwa maisha.ya m2 yasiyokuhusu,,,,,,wauza kuma 2 nyie mjini na bdo mtaumia sanaaa,,,dawa zote mtameza ila mtake msitake mange mnamuwaza na vichwa anawaumiza,,,,,,

    ReplyDelete

Top Post Ad