MAMA WEMA SEPETU AITUHUMU SERIKALI KWA KUMTELEKEZA MUMEWE MPAKA AMEFARIKI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wakati Rais Jakaya Kikwete akituma salamu za rambirambi kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe kutokana na kifo cha Balozi Isack Sepetu, mke wa marehemu amelaumu baadhi ya viongozi wa Serikali, akidai walimtelekeza mumewe kwa kushindwa kushiriki kumuuguza badala yake kuachia familia pekee.

Mariam, ambaye ni mke wa pili wa Balozi Sepetu aliyefunga naye ndoa ya kimila mwaka 1982, alisema mumewe enzi za uhai wake aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali za uongozi, ikiwamo ya Ubalozi Urusi na kwamba, kwa kutambua mchango wake, Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein aliagiza agharimiwe matibabu lakini hakuna hatua 
zilizochukuliwa.

Akizungumza jana nyumbani kwake, Sinza Dar es Salaam,  Mariam alisema alijaribu kuwasiliana na Wizara ya Afya Zanzibar, lakini hakupata ushirikiano aliopata,  aliamua kumsafirisha mumewe huyo kutoka Zanzibar hadi Dar es Salaam Oktoba 24, mwaka huu na kumpeleka Hospitali ya TMJ  Mikocheni.

“Nishukuru watoto wake wote waliungana na kushiriki kikamilifu kumuuguza baba yao,  wakishirikiana na ndugu na jamaa zetu wachache. Kwa kweli jambo hili limenihuzunisha sana nafikiri  hakupata huduma ya kutosha,” alisema

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

33 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ategemeae serikali Utaumbuka.Government is a part of a problem not a soln ,ask what you can do for your government and not what the government can do for you.Mtu kashastaafu serikali itawauguza viongozi wangapi.Mimi mtoto wa kiongozi mstaafu ila hatulelewa kutegemea serikali ,hatujawahi kaa nyumba za serikali na hapo kweli hayo Magari ya serikali mzazi wetu alikuwa hata hataki tupande tulikuwa ni kupanda mabasi ,we are better people now .Wazazi wetu washastaafu wanakula Kuku hauombi Pesa nyumbani tunafanya kazi .SAVE MONEY mnajenga majumba makubwa mkiumwa Pesa taabu HIVI why Jamani .

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yaani you took.words out of kmy mouth

      Delete
    2. "Hi Five" I don't know how to congratulate your thoughts!

      Delete
  2. Kweli mdau mbona mtoto wake wema mkwanja anao c wenzake wakifungw an awatoe kenda China kufanya plastic surgery kushindwa kupeleka baba ake India? Au hela za mashart. Na kuji show off

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yaani shangaa kama baba yake alikuwa anaumwa hivyo.si angempeleka india au huk china akatibiwe ebu wasituchanganye hapa yaani nilikuwa namuonea huruma wema ila baada ya hii story nana wote mabwege tu


      Delete
    2. Kisukari kinatibiwa hapa hapa jaman bib yangu anacho mwaka wa 13 sasa sema kiko delicate wanatakiwa madaktari wawe waangalifu sana hasa mgonjwa akiletwa yuko mahututi,na wawe na record kamili ya mgonjwa

      Delete
  3. Hilo ni funzo kwamba ujiandae kipind una fulsa kila m2 akifa atailaumu serikali, mbn binti yake aliweza kutoa million 16 kwa kajala alishindwaje kwa baba yake

    ReplyDelete
  4. Nilikuwa sijui kama wema ana baba na ina kuwa je baba aishi zanzibar mke dar? Tatizo la wema anapendaga sifa huyo baba ake kaumwa ghafla mpaka ash indwelling kupeleka India yy c ana mkwanja? Halafu mnailaum serikali wema unapenda kutoa hela na media zikuone kwa mzee wako umeona huyo tangazwa umeumbuka

    ReplyDelete
  5. Hii ni kufuru wema katumia milion zaidi ya milion 40 kumtoa kajala,kufanya plastic surgery na ku spend na diamond ameshindwaje kumpeleka babake Indiaj

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ile.story ya diamond kuwa wema alimpokea kwa ukarimu sana kwenye 5 star hotsel i bet you wema alilipa, sasa ajute na alie kwa uchungu. Haki, baba yako anaumwa unakula.raha sasa mama.analalamika.

      Delete
  6. Dunia haiishii vituko, kama.wema alipa.dhamana ya kajala alishindwa hudumia daddy ake mimiil

    ReplyDelete
  7. Watu hamkosi cha kuongea.. Ugonjwa alioimwa baba yake wema ni ugonjwa ambao unaponeka hapa Tanzania.. Embu wazeni vizuri.. Ni sawa sawa na ww hata kama una mabilioni, mtoto wako akiumwa malaria huwezi kukurupuka umpeleke india.. Yani mnaniboa sana mlivyokuwa na akili finyu... Na kama siku yake ilifika ni ilifika tu.. Hamuwezi kumbebesha wema mzigo wa kifo cha babake.. Ulikuwepo na kujua kama wema hakugharamikia matibabu ya babake.? Wangapi wanapelekwa india na hawaponi..? Mbona hospitali zetu zinatibu jamani unless uwe na magonjwa exceptional ila sio kisukari jamani mweeeh.. Kueni wabongo na kuacha tabia ya kuwapa lawama watu kila siku...!

    ReplyDelete
    Replies
    1. nafuu umewaambia yaan watu akili zao zipo matakoni wanazikalia tu hawawez hata kufikiri hapo juu mama ake kasema kama co #watoto wake#nahic hata kusoma hamuelewi nyoooo zenu kajala kajala msiokuwa na haya nyie mkishapata vicomputer vya kazin ndo mnaandikaga ushenz wabongo mmekalia umbeya tu,nyie wenyewe mnatembeza k na pumbu njian hata mama zenu hamjui anakula nin huko kijijin ila mkishakalia keybord bas ni kuaandika 2 ushenzi

      Delete
    2. Tukubaliane kitu kimoja, siku yake ilikuwa imefika ila kaa ukijua kisukari ukiwa unaweza ku afford dawa na kupata matunzo bora unaishi hata miaka.20. Kuhusu wanavyosema kuwa wanamsema wema she deserves it sababu ya alosema.mama yake analaumu nini sasa.

      Delete
    3. Kisukari kibaya usiambiwe hasa ukiwa nacho hujui ni hatari changanya na presha ukipata stroke,ndo kabisaa tmj sio hospitali bora hata muhimbili au lugalo

      Delete
  8. kwani TMJ alikuwa anatibiwa bure nyie mnaosema hakupelekwa INDIA, na mbona Kisukari kinatibika hapahapa, acheni hizo au kwa sababu mmekosa.

    ReplyDelete
  9. hee!!! mama mbona unaitia aibu familia yako wewe wanao wote wanapesa ocz wema aliweza kumtolea pesa kajala czankama angeshndwa htakumpeleka bbyake india jaman mcpende sna bure kamawanao wamejaliwa ndyo selekar yako

    ReplyDelete
  10. Yani inamaana wakati ule wema kaenda china kumpokea diamond na huku babake alikua hospitali hali mbaya..

    ReplyDelete
  11. Pochi la dollar 2,500 linapokuwa muhimu kuliko kumlipia mzazi hospital .makubwa

    ReplyDelete
    Replies
    1. hebu muwe mnasoma na kuelewa. mama anailaumu serikali halaumu watoto. amesema hadi mzee anafariki ni juhudu za watoto tu katika kumuhudumia na si serikali. so kina wema na ndugza ke msiwalaumu. muwe mnasoma na kuelewa kabla hamjatoa comments

      Delete
    2. Alishastaafu serikali inalipa million 2 pension kwa mawaziri na makatibu wakuu wastaafu for life .What else wanataka

      Delete
  12. Jaman kuweni na akili kuna baadhi ya vitu co kukurupuka kukoment na vikompyuta vya kazini wems kafanya nini jaman msisahau baba ake anakufa still ni mfanyakazi wa serikali zanzibar kateuliwa mwezi wa 4 kama ckosei hamjui wewe kafanya nini kumtibia baba ake mbona viongozi kibao wanakufa bila kufika india mzee sepetu ilikua imefika cku yake hata angeenda india ingekua yaleyale tmj ni hospital nzuri tofauti ni keamba huendi na passiport na co bure ni gharama pia msiwe wepesi kulaumu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tmj sip hospitali watu wanakufa moo hapo nadhani madaktari Hawaii makini

      Delete
  13. Wema na familia hawajaongea nyie mmerukia wadau wana haki ya kuongea.Mama analaumu serikali haikumuudumia swali linakuja viongozi wangapi wastaafu wahudumiwe?wanae wana hela shurti wamuhudumie sisi mbona baba yetu alikuwa kiongozi miaka hiyo tunaishi oyster-bay lakini vya serikali ni serikali huwezi kulaumu kila former kiongozi haudumiwe kama mdau alivyosema jiulize What could u do for ur country and government too.

    ReplyDelete
  14. Namshukuru mwenyezi mungu alimpa mzazi wangu Cheo kikubwa na ashastaafu .Leo hii serikali ya nini ?.Hebu tuache tabia ya kutegemea serikali Jamani hivi inafaida gani kwanza ?umene wenyewe kazi itakuja kulipia wagonjwa Woote wa wastaafu viongozi ?hata hivyo huwaga wanapewa insurance mzee sepetu hakukata? Alikuwa anasubiri serikali as usual . Haya

    ReplyDelete
    Replies
    1. Lollllllll yaani uone watu walivyo sasa, imagine na makorokoro yya wema hakuna insurance mama analalaikia serikali what the hell did she want

      Delete
  15. watanzania mnawivu sana sijabata kuona. utajiri wa wema unawapa shida sana?

    ReplyDelete
  16. watanzania mnawivu sana sijabata kuona. utajiri wa wema unawapa shida sana?

    ReplyDelete
  17. Jamani mama wema alitoa malalamiko yake sio kwamba familia wameshindwa kumtibu mzee sepetu anamaanisha Serikali isisahau michango ya watu ambao wameitumikia nchi kwa muda mrefu balozi alishawahi kushika nyadhifa mbalimbali katika taifa letu so ni vizuri kukumbuka mchango wa wazee wetu wakiwa hai na siyo kuenda kusign vitabu vya rambi rambi.Halafu tupunguze wish wash idea watanzania wezangu mnavyomsema wema si miongoni mwa familia walimsaidia marehemu mpaka siku ya kifo chake? mbona tunakuwa na dhana potofu ambazo hazina tija katika taifa letu?

    ReplyDelete
  18. Mlimabhodogo a ma munhu!mnatoa koment za kishamba,mnamlaumu nan.angekuwa kafariki ndugu mwambiwe hvyo mngejisikiaje?pumbavu kabisa et wema wema wema nin kama sio ushenz

    ReplyDelete
  19. pole xana mwana dada wema kwa msiba ucwasilize hao mabwege.

    ReplyDelete
  20. pole sana hiyo ni mipango ya mungu bwana ame toa na bwana ametwaa jina la bwana lihidimiwe

    ReplyDelete

Top Post Ad