MWANAFUNZI WA DARASA LA TATU APIGWA NA BABA WA KAMBO MPAKA KUFA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jamaa anae fahamika kwa jina la Masaka limbu wa hapa Dar amempiga mtoto wake wa kambo mpaka kupoteza maisha, tukio hilo lilitokea jmamosi mida ya saa mbili , Baba huyo alikuwa akikagua madaftari ya shule ya mtoto huyo na kukuta hayajasahihishwa na mwalimu na kuamua kujichukulia hatua na kuanza kumpiga mpaka kifo chake kilivofika....mtoto huyo alikuwa na umri wa miaka tisa..Mtuhumiwa anashikiliwa na Polisi

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mmmmhh jaman yan unipgie mwanangu mpk kufa mbona ntakunyonga!! Hapo ye mwenyewe hakua akiandika darasani

    ReplyDelete
  2. sidhani kama huyo baba alikuwa akimchukia huyo mtoto na kama alikuwa akimchukia asingekuwa anakagua madaftari yake nahisi alikuwa anapenda mtoto awe na maendeleo mazuri ila ndio hivyo tena vifo vingine mpaka vitie watu matatizoni. Hata mzazi wake angeweza kumpiga na kutokea yaliyotokea. Inawezekana pengine alimpiga fimbo ikampata kichwani na ikawa sababu ya kifo. Mungu atuepushe na matatizo hayo. Mwenyezi Mungu ndio anajua nia ya huyo baba ilikuwaje..

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unamawazo mazuri sana. huwezi angalia daftari la mtoto ambae hupendi maendeleo yake. wala kupata hasira kama anafanya vibaya kwanza ndo utafurahi. kumuadhibu ilikuwa sawa ila kila kifo kina sababu. 

      Delete
    2. Nakubaliana na wewe, kitendo cha kukugua madaftar Ni upendo na kuonyesha kujali. Kifo hakikosi sababu na siku ya kufa mtoto ilifika

      Delete
  3. Angekuwa amemwekea sumu au amemkata kichwa au hata angemkata mapanga ningesema alikusudia kuua ila kwa hili hapana,hata kanumba alisukumwa tu akaanguka akafa,ck ya kifo ikifika hata ukijikwa unaangu unakufa hapohapo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Usimtetee lulu tafadhali angekuwa hajakusudia hata tabia zake angerekebisha kutwa kupiga watu vijembe simpendi huyo mtoto hata chembe

      Delete
  4. huyo baba inabidi anyongwe kabisa

    ReplyDelete
  5. Hivi, mbaba wa hivo, na msibani atakuwepo au?? Sielewi ni roho ya namna gani

    ReplyDelete
  6. Wazazi tuache tabia ya kuchapa watoto haya mambo yameletwa na wakoloni, hata wakoloni wenyewe hawachapi watoto wao.kumpiga mtot hakusaidii lolote kwanza kuna mfanya awe mtu asiyejiamini.wengi wanafikiri watoto hawatawajibika isipokuwa kwa viboko....men mnapotea.mnahitaji hekima ya kuongea nao wakuelewe, la sivyo tutajenga taifa la watu waoga wasiofanya kazi pasipo kusukumwa

    ReplyDelete
  7. Hata kama bahati mbaya bahat mbaya gan hyo ni mihacra icyo na mbele wala nyuma ndio tuseme huyo mtoto cku yake ilifka but z nt the way of teach a child like that

    ReplyDelete
  8. Nyie mnaomlaum 1 kwa 1 huyo baba cku mkinywa maji yakawapalia had mfe ndo mtajua kuwa kifo hakina barabara,kinapita popot

    ReplyDelete
  9. Hayo maji yaanze na wewe tena ushindweee hatumlaumu ila tunashangaa huo upgaji we mbururaa

    ReplyDelete
  10. kifo popote tu tena na ww unayemlaumu huyo baba omba Mungu na wewe yasikufike maana ukiona mwenzio ananyolewa na ww tia maji zako.

    ReplyDelete

Top Post Ad