MZEE ZAHIR ALI ZORRO AFUNGUKA..."SIPO TENA KWENYE SHINDANO LA TUSKER PROJECT FAME"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Muimbaji mkongwe wa muziki Tanzania, Zahir Ali Zorro ambaye Jumapili iliyopita aliungana na Ian Mbugua wa Kenya na muimbaji Juliana Kanyomozi wa Uganda kama majaji wa Tusker Project Fame, msimu wa 6, amesema hayupo tena kwenye shindano hilo.

Zahir alitoa taarifa hiyo kwenye Twitter, kumjibu shabiki aliyemwambia kuhusu shindano hilo.

zahir ally zorro @ZahirAlly 
@achirex_mtz  Thank you Sir, But i'm workin' on something else now. No longer with tpf6

3:07 AM - 7 Oct 2013


Udaku Specially Blog


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mambo ya vijana waachie vijana mzee Zollo, umri wako umeenda hamtaelewana lugha, kubali kuzeeka mkuu hamna jinsi, nilikuwa darasa la kwanza nakusikia na miziki yako ya mashujaa tumerudi, kimulimuli, leo hii nina miaka 50 bado tu unataka ujana? waachie wenyewe mkuu watakuvua nguo sana. nilisoma tweeter za wakenya daaaah c mchezo, nimesikia aibu mimi.

    ReplyDelete
  2. safi sana i support u, wakenya wanajiona wanajua sana especially Judge Ian Mbugua . good decision let them swallow their words. una experience ya music kuliko wao but they think they know much!!!!!!

    ReplyDelete
  3. sema nawewe mzee wetu punguza ujana wenzako kina bichuka mbona wapo kihalisia.

    ReplyDelete
  4. BORA HATA WAMEKUTEMA MAANA AINA YA MUZIKI AMBAO UNAUFANYA HAUENDANI KABISA NA CATEGORIES ZA TPF,ISITOSHE WEWE KUWA MWANAMUZIKI HAIMAANISHI KUWA ETI NDO UTAKUWA NA UWEZO WA KUJUDGE V IJANA WENYE VIPAJI VYA KUFA MTU PALE TPF! UNGEENDA KUTUAIBISHA TU KULE,KWANZA NASIKIA KIINGEREZA CHENYEWE NI CHA UGOKO!

    ReplyDelete

Top Post Ad