SUBA MKOLE KESHO KUZINDUA VIDEO YA SONDE FEAT. NEY WA MITEGO NDANI YA FRIDAY NITE EATV

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Vijana wawili wakali kabisa katika Music hapa Bongo Suba Mkole ( Chriss Material na Wambua Classic) Kesho watazindua Video ya Wimbo wao Mpya unaotamba Redio Mbali mbali hapa Bongo unaoitwa Sonde ..Video Hiyo Itazinduliwa Ndani ya Kipindi cha cha TV Friday Nite Pale EATV....Video Imefanywa na  Mac Media chini ya Director Abas Adam.....
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. punguzeni promo za kijinga bwana mpaka mnakera, tunataka tuwajue kwa kazi zao na sio mbwembwe na promo zao.
    kama hujui hujui!

    ReplyDelete
  2. Watu wenyewa hata hajajulikana,achen chema kijiuze chenyewe,mmpewa hela ya promo nn?

    ReplyDelete
  3. Wako kama dogo mmoja simpend anafos ustaa mamae ivi nyie mb dogg mnajua alitoa nyimbo redion watu wakawa hawamjui wanamtafuta sio nyie wauza sura nyimbo hatuijui tayari mipicha shenz zenuuuuu

    ReplyDelete
  4. sio lazima wote tuimbe

    ReplyDelete
  5. Nay katomba wote ao

    ReplyDelete

Top Post Ad