AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Udaku Specially Blog
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Wanaume wa kuwagombania Wabongo wamefulia mnooo.wanagombaniwa kwa lipi
ReplyDeleteMange na sintah .kajala na shamimu
DeleteWamepitwa Na Wakati
ReplyDeleteNi Mataila kuna wanaume empty af yenyewe yanagombania """MBULULA"
ReplyDeleteHivi kuna watu baado wana gombania mabwana dunia hii! Tena na ngumi unarushiana na binti mwenzio!? Uwii kweli kila mtu naakili zake... Kata mti panda mti, chamuhimu ni kutumia kinga . Pigania jitu zima for what!!? Tupa kuleee
ReplyDeleteKila mmoja ana hisia zake binadamu wote hawafanani,ww unaesema kata mti panda mti inaoyesha una asili ya ukahaba.
ReplyDeleteKama kukata mti na kupanda mti niukahaba, basi na wewe pia kahaba! Maana ulishaga kata miti na kupanda miti mingi sana tu! Nandio nikasema kila mtu na akili zake,unakurupuka huko na mostress yako unavamia comment yangu...Kwani hao wanao pigana wanapigania nini!? Uniachageeee lol
DeleteKweli mdau kila mtu na hisia zake,na hawa wanaokurupuka na kuona hisia zao ni sawa na watu wengine ni taahira aende MIREMBE
ReplyDeleteSasa siutowe maoni yako kwa wanao pigania mabwana! Ooh tunakurupuka, mara matahira, sijui mirembe! Mumu What is ur on problem abeg? Cheiii abeg comot, leave us alone ooo ! hehehe
DeleteHahahahahahaha...vichaa kweli hao.
ReplyDeleteWewe uliesema kata mt panda mt namwunga mko alisema wewe ni kahaba,,kama wewe huna malengo na wanaume wenzio wanamlengo nao unaongea maneno ya bei poa ktka mapenzi,wewe utakua changudoa
ReplyDeleteLeave me elonooooo abeg! Toa maoni yako kwa wanao pigania mabwana na sio ukataji mti wangu na upandaji mti wangu cheii. Check ur life ooo
Delete