DIRECTOR ADAMU JUMA AKUTA USO KWA USO NA DIRECTOR NISHER LEO...WALIZIKA BEEF LAO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katika mechi ya kikapu leo kati ya team Adam Juma na team Karabani kulikuwa na vitu vingi vizuri sana moja wapo ilikuwa ni hili, baada ya mechi kuisha na team ya Adam Juma kuondoka na ushindi watu wengi walikuwa na furaha sana moja wapo ni hili la Director Nisher alipotoka sehemu alipokuwa akitizama mechi hii na kwenda hadi katikati ya uwanja na kumfuata Director Adam Juma na kumpongeza kwa kile kilichofanyika na kuzungumza mambo mengine na kuacha tofauti zile zilizotokea na hadi watu kujua kuwa kuna BEEF la chini chini linaendelea.
Nimefurahi sasa mimi kama DJ CHOKA na vitu kama hivi vinatakiwa viwe poa kwasababu hawa ndio wanaopeperusha bendera yetu mbali kwenye upande wa video za wasanii wa kibongo so tofauti zinapotokea haina budi kuzimaliza. One
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wabongo cjui tutaacha lin kutafuta hela kiujanjaujanja

    ReplyDelete

Top Post Ad