INSTAGRAM KIMENUKA KWA MASOGANGE NA WOLPER WAPEWA MAKAVU LIVE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtandao wa Instagram umekuwa ndio uwanja wa kuchambana hasa kwa hawa mastaa embu jionee huyo alivyowapa live live Agness Masogange na Jackline Wolper 




-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nani Mtani Jembe?

    ReplyDelete
  2. acha tu wapewe vidonge vyao wamezidi kuaibisha wanawake na familia zao.wamekuja na mbio za mwenge,elim zenyewe hawana na bado wanafanya matanuzi uchwara yaan wanakera sana.hawajui hata kwenda na wakati namaanisha wangetakiwa kusoma maana bado wadogo lakin ni mashauzi mbuzi tu hapa mjini.pumbavu zao sana kugeuza miili shahada haihusu.

    ReplyDelete
  3. Kweli mastar wengi bongo ni uneducated kijijn walikimbia umande hapa mjin wapo kuwinda waume zetu tulioanza nao mbal

    ReplyDelete
  4. mbona wema hamjamuweka nja yeye ajifunze milion mia 500 alizopangiwa nyumba si angefumua bonge la gorofa hata kama chanika mwe majanga mastaa wa bongo majangaaaaa

    ReplyDelete
  5. KIZA KINENE BALAA20 February 2014 at 16:06

    Nita Beibe
    Hellos.... mbn tumepooza jamani hakuna mashamsham????? Tupieni vitu tujiachie....... yale ya kuchafuana bloguni yanashughulikiwa tayari na TCRA pamoja na POLISI so soon itajulikana mbivu na mbichi nani alifanya uzuri siku hizi vitu havijifichi...... leteni raha bwana watu tujifunze tuokoe ndoa zetu......
    Like · · Yesterday at 8:04am
    NYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!!!! KWENDRAAAAA. ETI POLISI, ETI TCRA KWA UPUUZI WENU HUO!!! NA BADO. HADI ACCNT YAKO ITAKUWA MIKONONI MWANGU. MI NDO KIZA KINENE BALAAA. KAMA WE MJANJA NITAFUTE. NA BADOOOOO

    ReplyDelete
  6. Hao nao mawivu tu wanajifanya wanawajua kuliko wanavyojijua wenyewe

    ReplyDelete
  7. simlaumu sana wolper mara nyingi hela ikija nyingi na ikakukuta wewe ni maskini usiye na mipango mikubwa inakuwa kama ya mazingaombwe hivi, unaweza ukajikuta unachezea mpaka inaisha kienyeji bila kufanyaa la maana.
    tofauti na hela ikija ikakukuta uko ambitious una taka kutoka kimaisha.wolper alipata hela akiwa maaskini asiyejua kuendesha gari zaidi ya kujua kuuza vipodozi kama machinga. naimani akipata tena hatakuwa hivyo.lakini ndo hivyo bahati huwa haijirudii.
    kuhusu kumtema dallas, yupo sahihi mchaga hapendezei kuwa mwislamu

    ReplyDelete

Top Post Ad