MASANJA MAKANDIMIZAJI NOMA SANA AWACHANA WABUNGE WANAOLILIA POSHO IPANDISHWE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sawa mwanawane wabeja sana itapunguza ulalamishi

    ReplyDelete
  2. WABUNGE WA BUNGE LA KATIBA WAMEFEDHEHESHA TAIFA JAMANI. WAMEONESHA NI JINSI GANI KATIBA YA NCHI HAINA THAMANI, YENYE THAMANI NI POSHO KWENYE MATUMBO YAO. YAANI UTAFIKIRI WAO NI MASIKINI WA KULILIA POSHO. MKUBWA CHAPA VIBOKO WOTE HAO!

    ReplyDelete
  3. Masanja hao hawana hadhi ya UDOM hao kwa tabia waliyoionesha wangewekwa Dodoma Inn, serengeti na tarangire, halafu wapewe posho ya shs. 50,000 per day usafiri wakodiwe Champion bado wangejiona wamefaidi maana wengi wao hata hiyo 20,000 kwa siku hawapati.

    ReplyDelete
  4. 0.3 Mil kwa siku wakati mwalimu analipwa 0.2M kwa mwezi halafu wanadai kuongezewa tena
    HUU NI UNYAMA

    ReplyDelete

Top Post Ad