BABA ANATAKA NIOLEWE ILI APATE NG'OMBE WAKATI MIMI NI MLEMAVU NA NINA UMRI MDOGO SANA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Moshi Hussein ambaye ni mlemavu wa viungo anayeishi nyumbani kwa baba yake mzazi huko katika kijiji cha Magiri wilaya ya Uyui mkoani Tabora,binti huyu ana umri wa miaka 13 hajawahi kupelekwa Shule kwa maana ya kupata haki kama wapatavyo watoto wengine,Moshi amekuwa akililia hilo kwa baba yake mzazi bila mafanikio.Jambo baya zaidi kwa mujibu wa maelezo ya Moshi baba yake anahitaji aolewe ili aweze kupata Ng'ombe licha ya kuwa ana umri mdogo na hawezi kukabiliana na Changamoto za ndoa kulingana na ulemavu alionao.
Moshi kwakuwa hana uwezo wa kutembea umbali hata wa hatua kumi anawaomba wasamalia wema kumsaidia mambo makubwa matatu,kwanza ikibidi kumuondoa nyumbani kwao ili aepukane na ndoa ya lazima,Pili apelekwe shuleni kwakuwa anaona kukaa kwa baba yake ni wazi kwamba atakuwa anatafuta umasikini mwingine wa ziada ukiachana huo wa ulemavu wa viungo ambao umekuwa kikwazo kikubwa hata cha kujihudumia masuala mengine ya kiutu wa mwanamke.Kwa mujibu wa maelezo yake Moshi ana mshangaa baba yake kwa uamuzi wa kutaka aolewe kwakuwa hata ndoa yenyewe haoni kama itakuwa na maana kutokana na ulemavu alionao na pia haoni sababu ya kuwa mzigo kwa mtu mwingine katika maisha yake.
Moshi amekuwa akijikatia tamaa kulingana na ulemavu alionao,"Kama ningekuwa na mama labda hata ningeweza kupelekwa shule na mimi ningekuwa msomi kama wengine,lakini kwa hali hii ni bora hata ningekufa nimfuate mama yangu huko aliko"
Via KapipiJHabari
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wababa wengine ni wanyama au kwa vile hawaujui uchungu ee

    ReplyDelete
  2. Dah sad story Mungu tupe uwezo wenye huruma ya kusaidia..

    ReplyDelete
  3. Sijui kwann watoto wa kike wananyanyasika tz hasa wa kijijini. Sasa umri huo,na ulemavu si atakuwa kiburudisho tu cha huyo mwanaume..na ukimwi je atauepuka kweli. Alaaniwe huyo baba. Mungu nakuomba watokee wasamaria wamsaidia...

    ReplyDelete
  4. Sasa uyo atakae muowa anategemea nini kwa mtoto mlemavu wa miaka 13!?Inasikitisha sana, Kuna binaadam wanaroho za kinyama sana. Sasa mtu akitaka kumsaidi anawasilina nae kwa njia ipi?

    ReplyDelete
  5. baba huyu ni kuma kama kuma zingine huwezi kumlazimisha mtoto mlemavu kama huyu aolewe badala asome wazazi wengine salala 2

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kuma inathamani huwezi kuilinganisha na huyo mpuuzi,kuma ukiduu unasikia raha ambayo niya pekee,kuma tuliingilia wote na kutokea wote kasoro kwa wachache waliotokea kwa oprtn, bila kuma usingekuwepo. Kuma imetoa watu wote matajir kwa maskini. Kweli ww kichwa cha mboo. Utaidhalilishaje kuma kama mama yako hana au hukutokea katika hiyo kuma?

      Delete
  6. Jamani moshi unanipa uchungu mieeeee machozi yanilenga...mimi ni mama naujuwa uchungu wa mwana ndo mana machozi yanilenga. Mungu akuwekee wepesi pia na huyo baba yako Mungu amjaze imani abadili msimamo wake

    ReplyDelete
  7. Moshi pole sana mungu atakuletea wepesi,mm nimefurahi kusoma taarifa hii ambayo niyamaana na ya msingi sio kila siku wema kavua chupi au wema chupi yake hajaifua huwa taarifa ambazo tumezichoka,moshi mungu atakupa lenye heri na wewe lile baya mungu akuepushie amin amin amin

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mchangie sasa mkono mtupu haulambwi!!!?????

      Delete

Top Post Ad