DRAKE NA RIHANNA WAZENGUANA TENA KISA CRISS BROWN

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Uwezi amini unaambiwa ule uhusiano wa kimapenzi kati ya Drake na Chriss Brown uliokuwa Gumzo week iliyopita baada ya kutangaza kuwa wameamua kuwa wapenzi kabisa ..eti sasa wameachana tena na inasemekana kuwa kisa ni Chriss Brown , inasemekana kuwa Drake Amemfuma Rihanna Mara Kadhaa Akiwa anawasiliana na Chriss Brown wakichat Massage za Kimapenzi ...Mhhh Wacha Movie iendeleee......
-Regina Iwole
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nikama wema na domo

    ReplyDelete
  2. Brown hajatulia

    ReplyDelete
  3. Umalaya unawasumbua

    ReplyDelete
  4. rihanna anapend ukuni wa christ ndo tatizo.ila christ ni handsome zaidi yac drake.

    ReplyDelete
  5. Wanataka wazidi kuwa topic ya dunia..

    ReplyDelete
  6. drak na cris wapenz? hebu andika kwa makini we mbea

    ReplyDelete
  7. Admin rekebisha story acha kukopi pest bila ku edit makosa.DRAKE NA CHRIS AU DRAKR NA RIHANA

    ReplyDelete
  8. Ukiona mwanaume ana mng'ang'ania mwanamke sana ujue kuna kitu kakiona kwake hataki mwingine aone

    ReplyDelete
  9. Hahahahahahahaha rudi school dogo.

    ReplyDelete
  10. Wale wanapendana sana hawawezi kuachana

    ReplyDelete

Top Post Ad