MTALII AKWAMA KATIKA KILELE CHA MAWENZI MLIMA KILIMANJARO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtalii kutoka nchini Ujerumani anayefahamika kama Bi. Jeanne Traska (32) akiwa na muongoza wageni Athuman Juma leo majira ya saa mbili na nusu asubui wamekwama katika kilele cha Mawenzi Mlimani Kilimanjaro kwa kamba iliyonasa na kuwafanya wasiweze kushuka chini wala kwenda juu.
Bi. Jeanne na Athuman Juma walianza kupanda mlima kupitia Kampuni ya Nordic Tours tarehe 18.3.2014 kwa kutumia njia ya Rongai - Kibo –Marangu safari ambayo ingewachukua siku tano. 

Hadi sasa taarifa za awali zinaonyesha kuwa Bi. Jeanne alitakiwa kwenda kileleni Kibo lakini katika mazingira yasiyofahamika alibadili uamuzi na kuelekea kilele cha Mawenzi ambacho huwa hakitumiwi na watalii isipokuwa kwa kujaza fomu maalum inayoonyesha kuwa mgeni amekubali kwa hiyari yake kupanda kilele hicho.
Shirika la Hifadhi za Taifa kwa kushirikiana na Kampuni ya Nordic Tours wanaendelea na jitihada za uokoaji kwa kutumia askari ambao wanaelekea eneo la tukio pamoja na helikopta itakayosaidia zoezi la uokoaji kwa kutegemea na hali ya hewa itakavyotulia ambapo hivi sasa kuna mawingu mazito katika eneo la mlima.
Umma utaendelea kufahamishwa maendeleo ya jitihada za uokoaji kadri zitakavyopatikana.

Imetolewa na Idara ya Mawasiliano
Hifadhi za Taifa Tanzania
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kweli majanga.

    ReplyDelete
  2. Faida ya ukaidi..........acha wagande kumbe taratibu zipo kujaza form hakuzifuata...

    ReplyDelete
  3. We msenge hacha roho mbaya, faida ya ukaidi unamaanisha nn ss, we itakua muuwaji sio bure, unafirwa sana choko weeee

    ReplyDelete
  4. Mwenyewe mkundu

    ReplyDelete
  5. We kuma kweli kuma mako wenzako wako hatarin unafurah kwel we mkundu

    ReplyDelete
  6. SASA MATUSI YA NINI? ASIYE SIKIA LAMKUU HUVUNJIKA GUU,KIHEREHERE KIMEWAPONZA

    ReplyDelete
  7. Wote mnaofurahi kukwama kwa hawa watu ingekua ndo mama yako mzazi, ungejisikia vp hadi dakika hii, angalien kuna vitu vya kushabikia na vitu vya kuomboleza, wapumbavu wakubwa nyie

    ReplyDelete
  8. Nyie acheni matusi, mnatufundisha tabia mbaya,mungu awasaidie tu,wapate kuokolewa.

    ReplyDelete
  9. Nyie acheni matusi, mnatufundisha tabia mbaya,mungu awasaidie tu,wapate kuokolewa.

    ReplyDelete
  10. Nyie mafala yaani hamuwezi cuccoment bila kutukana. Mikundu ya bibi zenu.nyambaff

    ReplyDelete
  11. nyinyi wote mnapaswa kufahamu kuwa matusi si uungwana. ushuzi nyieee.

    ReplyDelete
  12. nyinyi wote mnapaswa kufahamu kuwa matusi si uungwana. ushuzi nyieee.

    ReplyDelete

Top Post Ad