MWEEE....HILI TUKIO LILINIPITA...KWELI NAPE KAOA AMA NI KAMCHEZO KA PHOTOSHOP?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nimekutana na hii picha Mtandaoni nikaona nishare na ninyi...Hivi kweli Nape Kaoa hivi karibuni ama ni Photoshop ..? Kama kweli hongera zake ....Maana na Upekuzi wangu hili tukio lilinipita mpaka nalikuta mtandaoni..
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwani mpaka ushuhudie ww ndo inakuwa ndoa kwani we mungu?

    ReplyDelete
  2. who are uuuu!?!????

    ReplyDelete
  3. Ndiyo..kama unavyoona! Kwan ulichanga hujaalikwa?

    ReplyDelete
  4. Utajua kila kitu kinachofanyika hapa duniani?????????!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  5. Kamchezo gani wakati kamuoa mama yako.

    ReplyDelete
  6. Ulitaka akuoe ww? Kwani nape kuoa ni ajabu,acha maisha ya watu boya ww,km huna kazi kakune nazi...

    ReplyDelete
  7. utajiju babu ya ngoswe mwachie ngoswe

    ReplyDelete
  8. Hha ha hha haaa..mbavu zangu...anyway napita tuuu

    ReplyDelete
  9. hongera yake!

    ReplyDelete
  10. Achana na inshu za with...kwani kuoa mpaka akujulishe

    ReplyDelete
  11. WW msenge nini, kila kitu unataka kujua umekuwa mungu?

    ReplyDelete
  12. Nape Umenuna! Kha umelazimishwa mkuu! Mkubwa kwako uwiiiiiiiii!

    ReplyDelete
  13. Kwani ulikuwa mpenzi wake ndio kakusaliti

    ReplyDelete

Top Post Ad