WAKOREA WAAGIZWA KUNYOA KIDUKU KAMA RAISI WAO KIM

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wanaume Korea Kaskazini wanakabiliwa na mtihani mpya katika taifa lao; wa kunyoa nywele kwa mtindo ulioamuliwa na rais wao.

Watake, wasitake kuanzia sasa kila mwanamume atalazimika kunyoa nywele zake kwa mtindo anaoupenda Rais Kim Jong- un.

Kiongozi huyo kijana, aliyerithi wadhifa huo baada ya kifo cha baba yake, hana mzaha hasa kutokana na nia yake ya kujenga mfumo mpya wa utawala ambao matakwa yake tu ndiyo ya kufuatwa.

Ni wiki mbili sasa tangu serikali ya nchi hiyo kutoa agizo linalowataka wanaume kunyoa kama rais wao, huku wanawake nao wakielekezwa kutengeneza nywele zao kwa aina 18 tofauti na si zaidi ya hapo.

Hilo ni moja ya maagizo yenye utata kuwahi kutolewa chini ya utawala wake, ambapo amekuwa akifanya jitihada za kujijengea mizizi, ikiwamo kuwaondoa na kuwaadhibu wale waliokuwa katika utawala wa baba yake wanaoonekana kutokubaliana na aina yake ya uongozi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huu ndio ubaya wa kuwapa madaraka watoto wadogo, wakishavuta bangi wanayowaza ndio hayo hayo

    ReplyDelete
  2. Kaazi kwelkwel mbona hawapendezi kama banda la nyasi lililozeeka linataka kuanguka.

    ReplyDelete
  3. huyo jamaa hanaga mzaha kabxa,alimnyonga mjomba wake hv hv

    ReplyDelete
  4. Kwani umoja wa mataifa hawalioni hilo?
    au wamerizika nalo mbona hata picha inamuonesha ni mdogo je xaxa sheria mpaka ihamie kwenye nywele hata m2 mstarabu anyoe kiduku duuhh!!! majananga.

    ReplyDelete
  5. Tabia hz ndo wanazotuletea ccm hapa tz, kulazimisha matakwa yao bila ya wananchi kutopenda , inakera sana, sijuwi ni kukosa ustaarabu au elimu ndogo au ni udikteta ? Ukwel kwmba mnaudhi sana nyie jamaa hata MUNGU hapendi tabia hz za kijinga

    ReplyDelete
  6. hizi ni bangi za kuvutia chooni mbaya kweli kweli tungoje akili yake irejee

    ReplyDelete
  7. eh kweli aise labda tu msubiri akili yake irejee

    ReplyDelete

Top Post Ad