WOLPER, HUSNA WAMGOMBEA MKONGO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: Shakoor Jongo
KUCHAMBANA, kutoleana lugha chafu ndiyo ishu iliyopo kwa sasa kati ya nyota wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper na mshiriki wa Miss Tanzania mwaka 2011 iliyomtoa mlimbwende Salha Israel, Husna Maulid kufuatia madai kwamba, wanamgombea mwanamume Mkongo aliyejulikana kwa jina moja la Mwami.

Kwa mujibu wa chanzo chetu, Husna ndiye aliyeanza kuwa na uhusiano na Mkongo huyo mwaka jana na kila anapofika nchini hutanua naye kwenye ‘viwanja’ mbalimbali.

“Husna ndiye mwenye mwanaume, akija Bongo wako wote, lakini hivi karibuni ghafla tu, jamaa kaja na kuwa na Wolper, Husna kapigwa chini, sijui Wolper alimpatia wapi?” kilisema chanzo hicho.

Jumamosi iliyopita, Uwazi lilimtafuta Husna na kumuuliza kuhusu madai hayo ambapo alifunguka kwa kusema:
“Ni kweli kabisa, Wolper amenichukulia mwanaume wangu. Mi nimemshangaa sana. Halafu eti ananitumia meseji za ajabu ajabu mimi, eti anasema hajanichukulia bali ni bwana ‘ake siku nyingi (huku akionesha meseji hizo).

Baadhi ya meseji hizo zinaonesha Husna akijibu mapigo upande wa pili huku akishambulia kwa maneno makali kufuatia madai kwamba anatembea na Mkongo wake.

“Jana (Ijumaa) alikwenda naye hoteli…(anaitaja jina) iliyopo Masaki (Dar), wakala chakula kisha wakaenda kulala hoteli… (pia anaitaja jina). Mimi najua kila kitu,” alisema Husna akionesha hasira.
Kwa mujibu wa Husna, awali siku hiyo alitaka kwenda kumfumania Wolper na Mkongo huyo kwenye hoteli waliyokuwa wakila chakula lakini machale kama yalimcheza wakaondoka.

Baada ya kuzungumza ana kwa ana na Husna, Uwazi lilimsaka Wolper kwa njia ya simu ili kumuuliza lakini hakupokea. Wakati mwingine simu yake ilipopigwa ilionekana kuwa bize.

Hata hivyo, ili kumpa nafasi zaidi ya kujieleza, Wolper alitumiwa meseji saa 5:05 asubuhi ikiwa na mashitaka yote ambapo ‘ilideliva’ kwenye simu yake, lakini pia hakuijibu mpaka saa 10:13 jioni wakati gazeti hili linakwenda mitamboni.
GPL
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

29 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyo mwami mbona kila mtu wake mara alkua na wema, uwoya,wolper tena husna fujo tupu

    ReplyDelete
  2. Hee mbona husna na wolper walikuwa wanasagana hadi husna akachora tattoo ya wolper kweli mjin ni shidaaaahhhh

    ReplyDelete
  3. inatuhusu nn sisis hiyo ndo habari ya mjini kushare, mkongo mwenyewe choka mbaya kiruuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. mwenzangu wasanii shida,,kama(jack) klyn kauza sana punye kwa wazungu wa serena,pemkiski..,yaani walikuwa ni balaa yeye na group lake ..kaona yamemshinda kajiweka kwa mengi.

      Delete
    2. Pemkiski ndo nn?

      Delete
  4. Hawajamuongelea jack mbona una chokochoko matako yako.

    ReplyDelete
    Replies
    1. pale kilimanjaro hotel,,,lulu lazima anuke kuma mtoto katombeka yule..lol!!!!kila dudlimemuingia nyuma,mbele hana lolote....alikuwa akinywa wanamwekea kidonge,wanamtia we!!!mpaka basi.

      Delete
  5. Ndo dada zetu wa kibongo tamaa sana, kila kukicha skendo za ajabu ajabu tu, poleni sana wadada

    ReplyDelete
  6. Ndio maana ulisema unataka kuolewa nje ya nchi kisa mkongo haaa hao wakata viuno tu utaishia kutengenezwa nywele na kucha ukimpenda mmoja wanakuja kumi hapo umepoteza wanapenda kulelewa hao utapoteza dira mamito.

    ReplyDelete
    Replies
    1. hahaaaaa mdau umebniacha hoi. mi nlijua ulaya kumbe congo hapo 2 hata kwa miguu unafka.

      Delete
  7. Mnagombea ukimwi!!!

    ReplyDelete
  8. Hivi kwa nini hamuoni hata kinyaa unamsikia bwana wako yupo na mwanamke mwingine unakwenda kumfumania kakuoa??? Si uachana naye mumezidii tamaa ndiyo maana mnagombania wanaume wanamke timamu na heshima zako huwezi kugombania bwana gulia acheni tamaaa mwisho ni ukimwi

    ReplyDelete
  9. Mwami si mkongo anajifanya mkongo tapeli akuna na anasemaga anataka awafire bongo move wote ila alimpenda sana husna lulu kasema mzuri ndani ila katumika sana kila kona katanuka wema nae kasema hvyohvyo ila anajua kudeka ilo worpal ndo kalinanga kasemA alijui chochote ananuka mkundu wazi ajui kulia wala mapenz gogo husna anahitahdi na amsemagi sana sema uwoya amuongeleagi nahis bado ajalamba maskan mikocheni kwa matapel wakongo yaan apo wananangwa sie tunacheka tu na amepanga dabotree ila akishiwa kuna kilodge kipo mikocheni anakujaga kujificha dadazetu acheni jamani aibu tunajisikia vibaya sana tukiwa kama wadada wenzenu na mpka msg za mapatano huwa anatuonesha husna anaongwa sana wema nae alipewa mtonyo mwingi lulu worpel wako cheap sana sijategemea acheniii

    ReplyDelete
  10. wanagombania hela siyo dume maana woote wanainamishwa kwa dau tofauti. wema aliliwa kwa dola 2000 na bado anajipendekeza kwa jamaa ila mwami sasa hv kashusha dau mpaka dola 200 ndio ugomvi sasa ulipoanzia.

    ReplyDelete
  11. Hata huyo husna katumika sanaaa,, kwa hlo usimtetee,,ila wolper tumepokea malalamiko kwa baadh ya mabwana zako kuwa unanuka Kuma,, bs jitahdi kunawa vizuri,, DALAS alisema kuwa unanuka kuma kama kidonda,,,G,modal nae karudia kauli hyo hyo,,,embu kuwa makini na hyo nyapu,,,kama ni ugonjwa jaribu kuutaftia tiba,,,

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahahahahaaaa dawa ya kuma inayonuka ni clean hands and clean water baaasii ukichanganya madesa lzm unuke

      Delete
  12. Huyo husna kwenye picha ndo mzuri live mbayaaaa kakongorokaaa full kujichubua na ana mapungufu kweli maana bwana wa mererani naye lulu alimkwiba

    ReplyDelete
  13. Fungukeni jamani ni kweli dallas alisema alichokua anakitegemea kwa wolper hajakikuta mapenzi hajui ananuka kuma jamani uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti jack nitafute niwe kungwi wako nikufundishe kuosha kuma na kumtumia mwanaume

    ReplyDelete
    Replies
    1. labda agawe tu mkundu....sijui anao..maana mkundu ndo akiba uzeeni.

      Delete
  14. c muwagombanie hata kina senga, chili au wao hawana noti makahaba nyie

    ReplyDelete
    Replies
    1. We lzm utakuwa senga au huyo chili naona ukimwi unakutafuta we jitangaze tu kama una hela basi utawapata mpunguziane virusi taratibu mkianza kuanguka hapa sijui nani atamzika mwenzie

      Delete
  15. Hakuna mwanaume mwenye busara kati ya hao wote wanaotoa siri za wanawake waliotembea nao. Mtu ulikuwa naye kwa muda ukajidai ni wako, unakuja kutangaza ananuka, huoni km na wewe unajidhalilisha kwa kutojua kuchagua mpk ukuwa na mnukaji (kama ni kweli) na mwanaume mwenye hekima angechukua hatua kumsaidia mwenzi wake asinuke. Hao wanaosema kuwa ametembea namwanamke na akamkuta ana maumbile makubwa wajichunguze pia, maana isije ikawa wanataka kutwanga kisamvu kwenye kinu.kwa kutumia ujiti wa chelewa (wenye vimbilimbi). Na kwa wale wanaodai kuwa wametembea na wanawake wao hawajui mapenzi, wajiulize pia wao wanajua, maana mapenzi ni wote wanapaswa kujua, mwanamke na mwanaume. Maana hapa mjini wanaume wengi ni wapiga pushapu tu kwenye miili ya wanawake. Mwanaume kama anajua game mchezo ukikolea mwanamke atajituma tu. Fikirieni kabla ya kuwasema vibaya wanawake. Na wanawake wanaoshabikia wanawake wenzao wakisemwa vibaya, wajitafakari pia.

    ReplyDelete
  16. Wanawake wengi ni watunza siri sana, wsnaume wengi hapa mjini ni wachafu, na wengi wao wanamafangasi na wanuka miguu. Lakini wanawake hufanya juu chini kuwabadili watu wao bila kuwasema vibaya. Ila hao wanaume wachache wasio na akili wala busara huwasema vibaya wanawake wanaotembea nao. Ujinga acheni.

    ReplyDelete
  17. Tatizo ni kujirahisisha kwa hao wanaume na ndiyo maana wanadharirishwa sn na tamaa ya kuishi maisha ya juu wakati hawana kitu wataacha kutukanwa km huyo wolper wazazi wake wanaishi kibaha kwa mfipa hawana lolote wana kiduka cha mtaani kile cha mangi lkn bado anataka maisha ya juu.

    ReplyDelete
  18. Yataacha kunuka uchi mijitu unakuta imeweka makucha ka shetani

    ReplyDelete

Top Post Ad