UNA KILA SABABU YA KUOGA NA MPENZI WAKO..SOMA HII UTANIELEWA.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Unapo kuwa nyumbani , tena ni vizuri ikiwa weekend mkiwa wote mko nyumbani, hakikisha unapata nafasi ya kuoga pamoja na mpenzi wako, hivi ni vitu vidogo dogo sana vinavyoweza kufanya mapenzi yenu yawe mapya kila siku.
Wakati wa kuoga fanya mbwe mbwe kidogo msugue mwenzako, mgongoni hata sehemu nyingine hii sio kwa wanawake tu hii ni kwa wapenzi wote wawili tena hususani zaidi kwa wanaume hili ndio zoezi lao, mkimaliza kuoga chukua taulo na mfute mke wako vizuri kisha, chagua yale mafuta anayoyapenda zaidi mpake huku mkipiga story mbili tatu.

Inabidi tufahamu kuwa kunavitu unaweza kuviona ni vya kipuuzi sana kwenye mapenzi lakini, ndio vinavyokukosesha maksi kila siku. Usipomfanyia hivyo kuta watu wengine watafanya halafu utaonekana huna maaana..!! Kantagaze Nimekwambia
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. heheheiya majanga akutangaze nani we ndo unajua leo

    ReplyDelete
  2. Kweli tupu big up

    ReplyDelete
  3. Hapo sasa.............napita

    ReplyDelete
  4. KAZI KWELIKWELI

    ReplyDelete
  5. Iko vizur sana

    ReplyDelete
  6. aah mimi mgeni nilikuwa napita njia tu.

    ReplyDelete
  7. yaaa big up kwa ushaur

    ReplyDelete
  8. Wanaume wengi sasa wanajua kuparamia tu

    ReplyDelete

Top Post Ad