Wema Sepetu Aanika Ugomvi wake na Mama Yake Mzazi, Kisa Kumbe ni Diamond

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

STAA wa filamu Bongo, Wema Sepetu ametaja sababu zinazomfanya aingie katika mgogoro na mama yake mzazi, Miriam Sepetu kuwa ni suala la uchumba wake na Nasibu Abdul ‘Diamond’ ambao alikuwa akiupinga mara kwa mara.

Akipiga stori na mapaparazi, Wema alisema kwa muda mrefu alikuwa akitofautiana kauli na mama yake katika suala zima la uhusiano wake na Diamond lakini anamshukuru Mungu amemuelewa na sasa kila kitu kinakwenda sawa.

“Mama nilikuwa nikimsihi sana juu ya uchumba wangu na Diamond lakini sasa tumefikia hatua nzuri namshukuru Mungu amekubali, maana siku hizi nikionana naye ananiuliza vipi mwenzako mzima, anaendeleaje, wakati mwanzoni haikuwa hivyo,” alisema Wema huku akiahidi kumkutanisha Diamond na mama yake. Imeandikwa na Mayasa Mariwata na Shani Ramadhani
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Admin hebu tuambie jinsi ya kupunguza vitambi kwa wake/ waume.
    haya madudu tumeshachoka nayo sisi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwelivkabisa Wrma Diamond real tired

      Delete


  2. Wachosha hasa..........

    ReplyDelete
  3. Hahahaaaa.....kwakwakwakwa......teh teh teh..... Kwa kwel inachosha

    ReplyDelete
  4. Bora mdau umesema kitu cha maana, tulishachoshwa na ujinga WA domo na wema, unatufundisha nini hapo? Asiyefunzwa na mamaye ulimwengu utamfunza. Tupe dawa za kupunguza matumbo acha ujinga, unakera Sana.

    ReplyDelete

Top Post Ad