Gari la Lulu Alilodai Kanunua Kwa Hela Yake Lazua Utata, Kadi yake ina Anuani ya Wizara ya Mambo ya Ndani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: Musa Mateja na Shakoor Jongo 
MAKUBWA! Mambo yamekuwa mambo, kadi ya gari jipya la staa wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ imeibua mazito kufuatia Jeshi la Polisi Dar es Salaam kubaini kuwa namba ya Sanduku La Posta (SLP) iliyoandikwa kwenye kadi hiyo ni Wizara ya Mambo ya Ndani Tanzania.

IMEVUJAJE?!
Hilo lilibainika baada ya gazeti dada na hili, Ijumaa toleo la Ijumaa iliyopita kuandika habari yenye kichwa kisemacho; LULU AANDIKA HISTORIA.

Katika habari hiyo, Lulu alipewa shavu kwa vile alinunua gari aina ya Toyota Rav 4 New Model kwa pesa zake mwenyewe tofauti na baadhi ya mastaa wa Bongo ambao huhongwa magari na wanaume.

SIMU YAPIGWA
Wakati gazeti hilo likiwa mitaani, mtu mmoja aliyedai kuwa ni afisa wa jeshi la polisi jijini Dar es Salaam alipiga simu kwenye chumba cha habari cha Global Publishers na kusema kuwa S.L.P ya 9140 iliyotumika kwenye kadi ya gari la Lulu ni ya jeshi hilo.

NI KOSA LA JINAI
Ofisa huyo aliliambia gazeti hili kuwa raia wa kawaida haruhusiwi kutumia sanduku la barua la jeshi kitu alichodai kinaonesha jinai ilifanyika wakati wa usajili ya gari hilo.
“Haiwezekani Lulu atumie Postal Office Box (P.O.Box au S.L.P) ya jeshi kwenye kadi ya gari lake ikizingatiwa kuwa yeye ni raia wa kawaida.

“Ukiachana na hilo hata sisi maofisa wa jeshi la polisi hatuwezi kuitumia hiyo anuani kwa shughuli zetu binafsi labda kuwe na kibali maalum,” alisema afisa huyo ambaye aliomba hifadhi ya jina lake kwa vile yeye si msemaji wa jeshi hilo.

LULU ANASEMAJE?
Baada ya kupata maelezo hayo, gazeti hili lilimtafuta Lulu ili kujibu madai hayo yenye utata ambapo alisema kuna mtu alimtengenezea namba yake ya TIN (Taxpayer Identification Number) ndiye aliyemwekea anuani hiyo bila yeye kujua.

Huku akisita kumtaja kwa jina mtu huyo lakini akimtaja kwa cheo ambacho kiko wazi na mapaparazi wetu wakamjua, Lulu alifunguka hivi:

“Namiliki gari langu kihalali kabisa na nina kila kitu, niko tayari kwenda kokote kuonesha uhalali wa umiliki wangu. Kuhusu hiyo anuani, mtu aliyenitengenezea TIN Number ili nipate leseni ya udereva ndiye aliyetumia hiyo anuani, mimi sijui chochote jamani.”

AOMBA AHIFADHIWE SIRI
Katika hali ya kushangaza, Lulu aliwaambia mapaparazi wetu wasimtaje jina gazetini mtu huyo aliyemsajilia TIN akisema asitiriwe siri yake


POLISI NAO WANENA
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, ambako ndiko usajili wa gari hili ulifanyika katika ofisi za TRA, Zakaria Sebastian, alisema jeshi lake halina taarifa za kuwepo kwa jambo hilo lakini watalifuatilia kwa karibu.

“Huenda ni mke wa askari au mwanafamilia. Unajua kuna baadhi ya maofisa wana msamaha, huenda alitumia hivyo, lakini tutafuatilia,” alisema kamanda huyo ambaye alielezwa kuwa, Lulu hajawahi kuwa mke wala mwanafamilia ya mwajiriwa wa jeshi la polisi.

“Kama hajawahi kuwa mwenye kustahili kutumia anuani hii, basi tutafuatilia ili kujua wakati akiitumia, je alikuwa anakusudia kufanya jinai? Tukijiridhisha hivyo bila shaka sheria itafuata mkondo wake.”
GPL
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

36 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kulikuwa kuna haja gan ya wewe kuwaita wa magazet na kuanza kuonesha gar kadi na kuvipiga picha ndo ukome sasa cc tunajua umehongwa kaa kimya

    ReplyDelete
  2. unaona ujinga wako dogo, ulijishaua sasa inakutokea puani, yawezekana hata hilo gari ulihongwa na mkubwa mmoja polisi!!

    ReplyDelete
  3. Jamaniiiiiiiiiiiii lulu umeumbuka Hilo Gari atakuwa kahongwa na mnene jeshini

    ReplyDelete
  4. Sasa lulu nyege gani zilizokutuma uanike Hilo Gari?tunajua uwezo Wa kununua Gari mwenyewe HUNA sasa anuani imekuumbua bureeeee Nilikuwa najiuliza whyyyy usajili anuani ya 9140?obviously inajulikana ni ya jeshi la polisi,kazi yako ni kufunuliwa marinda ili upate msamaha Wa Kwai ya Kanumba

    ReplyDelete
  5. kwahiyo alipata padeshee wakijeshi baada ya kuingia gerezani? duh, hatari!! mtoto rudi shule wewe bado mdogo sana wewe!! watakuharibu vibaya huko chini utakosa wakukusitiri ukufika ukubwani!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wamuaribu Mara ngapi?Yani ukiwa na hela tuuu walaa hupati shida kumpata Elizabeth Michael kimemeta.,ila simlaumu,tangu Ana miaka 9 mama yake alikuwa anashinda bar walikuwaga wanakaa tabata,lulu kamjua mwanaume akiwa na 9 years tena ungo alikuwa ajauvunja.pole lulu dear.si kosa lako ni la mama yako kukulea vibaya,kukupa uhuru na uku ulikuwa under 10 years.

      Delete
  6. Lulu utatoa mwili wako mpaka lini mdogo wangu?????maana huo utata Wa hiyo TIN number,anuani ya polisi,picha inajionyesha waziiiiiiii,si kitu cha straight forward.Unadanganya wasiokujua eti umenunua Gari ,nyoooooo uwezo huo huna mdogo wangu,danganya wasiokujua,Mwil i wako una ua buse sanaaaaa,utakufa na UKIMWI,ukifika 25 utakuwa umechokaaaaa,Utakuwa una pepo si bureeeee ,

    ReplyDelete
  7. mh! akome yani mikosi na ww shida na ww bahati mbaya na ww pole shoga aangu nakupenda sana ila punguza kiherehere

    ReplyDelete
  8. Mtoto anakiherehere Kama mkojo Wa asubuhi,UNGEKAA NA GARI kimyaaaa ungepungukiwaaaa?kupata vitu ukubwani ni shiderrrrr!,unataka kila mtu ajue umehongwa Gari.

    ReplyDelete
  9. Hahahahahaha hyo ni lav 4 ukipata Vogue si ndo utaweka adi uchi wako

    ReplyDelete
    Replies
    1. duuuuuuuuuuuuuuhhhhhhhhhhhhhh
      tena lav4 yenyewe milango mitatu je angehongwa six door ya maana c angejituisha kichwani kabisa isichafuke ila uyu mtoto ustaa haujamsaidia kabisa kwani gari la kuhongwa haliwezi kuagizwa kwa jina lake aya mama matangazo we jisahaulishe tu ukijua magazeti ulizaliwa nayo kumbe umeyakuta na utayaacha nyau weeeeeeeeeeeeeeeeeeee

      Delete
  10. Rudi shule elimu ndogo sana

    ReplyDelete
  11. Umeanza ku date na marehemu ukiwa na Umri Wa miaka 15,what a shame,na mama yako akawa happy,kwakuwa Kanumba alikuwa anamsaidia kifedha mama yako(Rest in peace Kanumba kwa kukutaja hapa wakati auko nasi kimwili,ila kiroho tunakukumbuka)

    ReplyDelete
  12. malaya akipata bwana tena kitu sio cha halali katombwa ndo kapata anapiga mpaka pichea hivi wewe un gekua unamiriki pesa kama wanawake wenye hakir wanamirik [esa nying hata huwez kuwasikia kwenye magazeti si ungekua mwehu na kushinda barabarani..unauza kuma uchi umechoka kama wa mtu mwenye miaka 40 wewe bint kwa nini usibadirike wewe kufilwa wewe kusagwa kwa nini utazaa kweli wewe mtoto mana mayai yanasonga mbelee yanatereza mboo ambazo umekwisha kula si utaumia badae sidhan kama utafikisha miaka 30 ukiwa mzima nafirki HiV LAZIMA UDAKE KWA UUZAJI WAKO WA KUMA MMH

    ReplyDelete
  13. Gari hilo linaonyesha limeingia kwa msamaha wa kodi wa kigogo wizara mambo ya ndani sasa kachemka wamelibadilisha jina kwenda kwa lulu kiujanja bila kulilipia kodi wakasahau kubadilisha anwani ina bidi lichunguzwe hili gari na maafisa waliohusika mambo ya ndani na kodi ya mapato wachukuliwe hatua ikibidi wasimamishwe kazi ndiyo maana nchi haiendelei.

    ReplyDelete
    Replies
    1. We utakuwa msomi maana umedadavua mpaka nimekusoma,nchi aitoendelea,kufanya mbinu zoteee hizo za kukwepa kodi,unafikiri bureeeee Katoa papuchi,TRA,mambo ya ndani.wewe si unatembea na mkurugenzi Wa .....na mbaba Yule Wa Arusha mererani wameshindwa kukulipia kodi?lulu anatuaribia watoto wetu wanamuiga maisha ya kishetani anayoishi,

      Delete
  14. Duuh!umeumbukaje?unatamani uhame nchi mdogo wangu.
    Katembeze u................

    ReplyDelete
  15. huyo kuruta mnyetishaji ni mzushi coz familia za polisi zinatumia anwani ya jeshi kwa shughuli binafsi asilete uzushi na mweshimiwa kafunguka ukweli kuwa hata wanafamilia tunatumia box hilo xo hata kama ikiwaje inaweza ikazimwa

    ReplyDelete
  16. JAMANI kweli lulu Michael ni chizi,Leo Katoa post instagram eti Rihanna kamfanyia unyama Chris brown eti l lulu anashangaa,kashasahau Unyama alimfanyia Kanumba Wa kumuua.Kama unaga post za kutoa instagram si ukae kimyaaaa????biach

    ReplyDelete
  17. Tumeshindwa kumchamba insta asije tublock bure tukakosa kuona upuuzi wake anaoposti kila dakika,Ana account kibao instagram inaitwa proudlulu....anajidai ni shabiki kaifungua,nimefanya uchunguzi kumbeee ni yeye mwenyewe,kujifagilia nyoooo muuaji mkubwa,kamata muuajiiiiiiii!!!!!!!NDUKIIiiiiiiiii

    ReplyDelete
  18. Out of topic,penny limekaa kidumedume kumbe lisagaji,duuuuu aibuuuuuu,Mungu awalaani wote uliowasaga,wasizae,wakishika mimba zitoke.Amen

    ReplyDelete
  19. Ndo maaaaaNa kabla awajachukuliana mabwana na juli walikuwa so close,kumbe Lao moja????eeee Mungu tunusuru na watoto wetu ambao bado tunawakuza,juli alikuwaga mshamba tangu baba apate cheo basiiii kajichetua Akili,

    ReplyDelete
  20. Nikisema mie ntaambiwa namwonea wivu in reality sioni chakumuonea wivu kwani kutiwa ukiwa under 12 inamaana hujakua kwenye malezi bora.sasa kilichomfanya ajishaue kuweka card ninini showing off mbaya haya pole enjoy maisha yakujishaua.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mshambaaaa huyo ajavizoea.ndo maana aamini Kama kahongwa rav4 kwa jina lake

      Delete
  21. huyo lulu ni mbwa coco kakua juzi amekula mboo under 12yrs kwa hiyo huyo msimlaumu mana muuza kumaaaaaaa.......ameshakua msagaji mfilwaji hata haeleweki nini anataka mana kila kitu yeye anataka jaman..au ana laana huyu mtoto nasikia anapigana na mama ake akilewa wanalewa wt wanakutana nyumban wanaanza kuchambana na kupigana huyu malaya ataleta shida badae...

    ReplyDelete
  22. maiskini lulu mashauzi yote yamekuisha kiherehere kwishney we all knw huna uwezo wa kununua gari mwenyewe sasa umekazana ku prove a point mpaka umeumbuka mwishoni

    ReplyDelete
  23. Yani anatumia kila njia awe juu ki maisha,wenzio mbaya zaidi anatumia sehemu zake mbili za siri(mbele na nyuma)

    ReplyDelete
  24. Out of topic,Yule mke Wa kinje ngombale,baba yake anaitwa KIZITO ni msagaji?naona Ana mahusiano na kina lulu na juli,penny,na hao wote ni wasagaji,mwenye kumjua huyu mtotot Wa KIZITO atiririke,na ndoa yake nasikia chunguuuu ka mwarobaini,anajutaaaaa kuolewa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nilickia alisagwa Sana na Salama mpk mumewe akamsafirisha kwa kumhurumia mana kasagana mpk kuma imesambaa km carpet

      Delete
    2. Kwi kwi kwi Asante mdau

      Delete
  25. LULU siku ukipima UKIMWI ukakutwa Negative fanya bonge la Party utuarike tunyweeeeee mashoga zako.

    ReplyDelete
  26. lulu rudi shule..maana malez bora ulikosa na umri wko bado

    ReplyDelete
  27. salama alimtomba mpaka jamaa akaamua kumhamisha mji mana alikuta kuma imetafunwa kama big-jii yani kuma imesamabaa kama sambusa za nyama kaloti huyo july nae kinyago cha mpapule na lulu anaingia kila kona ili mradi aishi

    ReplyDelete
  28. KAJALA ALITEMBEA NA MUME WA SHAMIM MWASHA AKARUKA FUTI ISHIRINI ALIVYOULIZWA NA SHAMIM,SASA LULU NAE ANAGONGWA NA CHONJI MUME WA SHAMIM,AKIULIZWA ATARUKA FUTI ISHIRINI,JAMANI ACHENI WAUME ZA WATU,HIVI KWANINI WATU HAWA AWAFI KWA UKIMWI?MIAKA INAENDA WAPO TUUUUUU TUMECHOKA KUWAONA,MSCHWEEEE.

    ReplyDelete
    Replies
    1. WATOA COMMENT AWAKURUPUKI WANATOA WALICHOKIONA,MIMI KUNA COMMENT NILISOMA KWENYE BLOGU FULANI KUHUSU MUME WANGU KUFUATILIA EE NI UKWELI MTUPUUUU,KWAHIYO SHAMIM FUATILIA KAMA KWELI LULU ANATEMBEA NA MUMEO,MAANA LIMESEMWA KWENYE COMMENTS KUPITIA BLOGU YA SINTAH.LISEMWALO LIPO.WALISEMWA WOLPER,PENNY,JULY ,LULU,NI WASAGAJI TUKAFIKIRI NI CHUKI BINAFSI ZA WATU KUFUATILIA NI UKWELI MTU,NI WASAGAJI.

      Delete

Top Post Ad