Hatari:Wachungaji Mbaroni kwa Ulawiti wa watoto Kanisani, Wadaiwa Kuwarubuni Kwa Sh 2000

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

WATOTO sita, wakiwemo wawili wa kiume wenye umri wa miaka 8 hadi 14 wameharibiwa vibaya sehemu zao za siri baada ya kubakwa kanisani na watu wanaodaiwa ni wachungaji.

Wakiwa katika Hospitali ya Mkoa wa Arusha, Mount Meru walikopelekwa kwa matibabu na kuangaliwa maambukizi ya magonjwa ya zinaa, watoto hao walidai kufanyiwa mchezo huo kwa nyakati tofauti  na wachungaji watatu wa kanisa hilo lililopo eneo la  Feed Force, Kwamorombo jijini Arusha.

Mmoja wa watoto hao anayesoma darasa la 4 katika shule ya msingi alieleza kuwa yeye na wenzake wamekuwa wakifanyiwa mchezo mchafu katika kanisa hilo baada ya wachungaji hao kuwapatia shilingi 2,000 za kufungia mdomo.

“Siku moja nilipofika shuleni wenzangu wakaniambia niende pale kanisani tukapewe hela, nilipofika niliwaona wenzangu wengine wakifanyiwa mchezo mchafu na mimi mchungaji aliniambia niiname akanifanyia kitendo kibaya na kunipa shilingi 2,000, niliumia sana,’’ alisema mwanafunzi mmoja.
Mwanafunzi mwingine alisema amekuwa akitoroka shuleni na wenzake na kwenda kwa watumishi hao ambapo huwaingiza katika kanisa hilo na kujifanya wanawaombea baadaye huwafanyia mchezo mbaya.

“Tukifika huwa wanatufungia ndani na kutuambia tuwanyonye, baadaye wanatubaka  na wakimaliza wanatuambia tukisema kwa mtu yeyote watatuchinja na kutuzika ndani ya kanisa lao,” alisema denti huyo.

Wanafunzi hao walieleza kuwa watumishi hao huwarubuni kwa kuwaeleza kuwa watawasaidia kuwasomesha iwapo watakuwa wakienda kwenye kanisa hilo na kuwaingilia.
Mzazi mmoja wa watoto hao, Julius, mkazi wa Kwamorombo alisema mtoto wake alimweleza kwamba amekuwa akifanyiwa mchezo mbaya na watumishi hao baada ya kupewa shilingi 2,000.
Alisema aligundua hilo kufuatia tabia ya mtoto wake kuchelewa kurudi nyumbani.

Naye Mbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chadema, Godbless Lema ambaye alifika hospitalini kuwajulia hali watoto hao alisikitishwa na kitendo hicho na kulitaka jeshi la polisi lifanye uchunguzi wa kina kwa kushirikiana na vipimo vya kidaktari ili kupata ukweli wa tukio hilo.

“Nimeongea na mkuu wa mkoa, Magesa Mulongo ambaye ameahidi kulifuatilia kwa kina suala hili na kujua undani wake,’’ alisema Lema.

Hata hivyo, watoto hao baadaye walihamishiwa katika Hospitali ya Seliani kwa ajili ya vipimo zaidi huku taarifa za awali zikithibitishwa na daktari wa hospitali hiyo kuwa, baadhi yao walikutwa na michubuko na kupanuka sehemu za siri hali inayooneshwa kuingiliwa.

Watuhumiwa wa tukio hilo wanashikiliwa katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini hapa  kwa uchunguzi zaidi na Kamanda wa Polisi Arusha, Leberatus Sabas amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dunia kwishney...haya yote yalishatabiriwa

    ReplyDelete
  2. ukafiri ni upofu, eti maombi......dawa ya makafiri ni kukata vichwa tu,wanalawiti watoto halafu eti uchunguzi, na si ajabu ukawakuta mtaani wanadunda yani nina hasira na makafiri ngojeni tu kitaeleweka,mxchiiiiiiii

    ReplyDelete
  3. Hiyo c dini nyiye mnajisumbua bure tu subirini hapo mtakapo kata roho ndo mtamjua yesu nani, we umewahi kusikia msikitini akalawitiwa mtu? Amkeni babaaaaa sio mnafata wazungu tu mafala nyie.

    ReplyDelete
  4. ww mdau hapo juu vp zote n dini hila hao wachungaj wanamatatizo wangewajaribu kwanza watoto wao.

    ReplyDelete
  5. Hey guyz sio mda wakuanza kuambiana makafili hao niwachungaji wapumbvu na isitoshe hao cio wachungaji wa ukweli ni matapeli ....usitukane dini ya mtu kuna shekhe aliwahi kuchinja mtt wa madrasa dar kuna mtu alitukana dini ya mtu muwe mnafikiria.....na utubu we hapo juu coz ita ku cost xana .

    ReplyDelete
  6. heheee watu wana hasira na makafiri nyie ambao sio makafiri ndo mabigwa wa tabia hii kwahiyo wewe sali kuiokoa nafsi yako na kujitakatisha siku yakiama ikifika uwemahali salama
    sikujidai wewe mungu kuanza kuhukumu wenzio

    ReplyDelete
  7. mxiiiiiiiew wr mdau unaeita wakristu makafiri eti ushawah kusikia msikitn kuna hyo mambo....lol hakuna watu wabaya km nyie tena madrasa ndo wanaongza kwa hyo tabia na ndo mn mashoga wengi wanatokea kwenuuu

    ReplyDelete
  8. Sitaki kuumiza kichwa kwavile najua hiyo ndio ilivyoandikwa katka bible "hata nikimimimnwa katika madhabahu najisikia raha sana nanyi nawahusia huko kumiminwa kuwe ni kati ya ibada yenu" sasa hao wachungaji wametafsiri vibaya andiko hilo!Pumbaaaavu zao

    ReplyDelete
  9. hao ndio washika dau hakuna uchunguzi wala vipimo nani atasubutu kumtia ndani mtumishi wa mungu?

    ReplyDelete
  10. dawa ya kafiri ni bunduki na kukata vichwa vyao,kwanza hilo kanisa lilitakiwa lichomwe moto.

    ReplyDelete
  11. na hao sijui ndio wachungaji ilitakiwa wapigwe mawe hadi wafe.

    ReplyDelete
  12. wachinje ndugu zako kwanza ndo ukawachinje wakristo......utalaniwa kwa kinywa chako 8:17 ....badilika.

    ReplyDelete
  13. kusema kweli mambo ya kulawiti huwa yanatokea makanisani kwa saaana duniani kote sijui kwanini muwaruhusu waoe jamani. genye* hizoooo

    ReplyDelete
  14. Tungekuwa tunafahamiana jinsi wengine wanavyo changia mawezo yao ,wanahitaji msada Mkubwa sana wa kisaikologia

    ReplyDelete
  15. we kanisa ambalo papa ni shoga unategemea nini?

    ReplyDelete
  16. kama papa analawiti sembuse samaki wadogo.

    ReplyDelete

Top Post Ad