Wema Sepetu: Kissing on the lips kwa girls to girls is very very okay, I kiss my mama, I kiss my sister kwenye lips

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya picha inayomuonesha Wema Sepetu akibusiana na Aunt Ezekiel kwenye Lips kuleta hisia tofauti kutokana na kitendo hicho kutozoeleka kufanywa na watu wa jinsia moja, Wema amesema “Yes I kissed her”, na kusema kuwa hufanya hivyo hata kwa watu wengine wa jinsia yake ambao yuko nao karibu.

It is not only her, I Kiss my daughter, I kiss my sister, I kiss just people who are close to me”.Amesema kupitia Power Jams ya EA Radio.

Mpenzi huyo wa Diamond ameendelea kujitetea kwa kitendo hicho kwa kusema kuwa ni jambo la kawaida kwa wasichana waliokaribu kubusiana kwenye lips na kuongeza kuwa hubusiana hata na mama yake na dada yake kwenye lips.

Kissing on the lips kwa girls to girls is very very okay, it is not okay kwa men to girls or men to men, kwa girls to girls kama you guys are like really close and you are attached, because I kiss my mama, I Kiss my sister kwenye lips “.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Malaya wa kinyaturu unajipia sago

    ReplyDelete
  2. NOTHING WROUNG FOR SURE KWA FAMILY ZA KISHAMBA NDO WANAONA NI JAMBO LA AJABU BUT KWA FAMILY ZA KISOMI KUMKISS MAMA DADA NI KAWAIDA U MISED HER U HAVE TO SHOW THE REAL LOVE TO THEM FOR THE CLOS FRIEND MMEACHANA KITAMBO U MAKE A KISS SIO TATIZOO NA LIPS KISS SIO DEEP KISSES ZA MAPENZ LIPS KISSES NI ZA KAWAIDA LKN ANGEKUA KAMKISS DEEP KISS NDO INGEKUA TAI=IZO WATANZANIA BADO SAANA NA NDO MANA WENGI WENU HAW=MWEZI KUKAA NA MARAFIKI WA KARIBU MKAELEWEKA ..PUMBAVU MWACHENI WEMA ANAJITAMBUA.

    ReplyDelete

Top Post Ad