Flora Mbasha, amekimbilia mahakama ya hakimu mkazi kisutu Kuomba Talaka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwimbaji maarufu wa nyimbo za Inili, Flora Mbasha, amekimbilia mahakama ya hakimu mkazi kisutu, akiomba kuvunja ndoa kati yake na mumewe, Emmanuel Mbasha. Flora anadai sababu za kuomba kuvunja ndoa hiyo apewe talaka ni kutokana na tabia ya mumewe kumpiga, kumnyanyasa na kushindwa kumpatia matibabu.

Una lipi la kuwaambia wanandoa hawa?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Unamuaibisha mume wako, na huyoYesu unayesema unaye pia unamuaibisha. Sio vizuri hasa kwa mtu unayejiita mtumishi wa Mungu, unategemea vijana wanaooana sasa wataiga nini kutoka kwako wewe unayejiita mtumishi. Biblia imesema tusamehe, kama huwezi kumsamehe mume wako unawafundisha nini watu wengine ambao hawamjui Mungu. MSAMEHE MUME WAKO PLEASE NA USIWEKE MAMBO YAKO YA NDANI HADHARANI.

    ReplyDelete
    Replies
    1. na vipigo asamehe mpaka atakapo uwawa eeeeh we goli kipa si haba!

      Delete
  2. FLORA ALICHOKIUNGANISHA MUNGU MWANADAMU ASIKITENGANISHE!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad