Zari Ampokea Diamond Kampala kwa Mbwembwe Nyingi Huku Waandishi wa Habari wakishuhudia Tukio

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Diamond Platnumz ametua Kampala jijini Uganda jana tayari kwaajili ya kutumbuiza leo hii kwenye show ya Zari All White Ciroc Party‬ jijini humo. Diamond alipokelewa kwenye uwanja wa ndege na mpenzi wake Zari Ttale aka The Bosslady huku waandishi wa vyomba mbali mbali maarufu wakishuhudia tukio hilo .

Wawili hao wamekutana kwa mara nyingine baada ya hivi karibuni kuwa pamoja kwenye tuzo za Channel O.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. sasa hapo mbwe mbwe kubwa ziko wapi maana watu wanahesabika kama tu wameenda kumuona mzazi

    ReplyDelete
  2. kaza buti diamond hapo usiachie!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  3. Mungu akupe nini tena jamani!!!??

    ReplyDelete
  4. waoo! inapendeza sana

    ReplyDelete
  5. wewe mburura unayesema apo mbwembwe ziko wapi mzima kweli wewe madam wenu anaweza kuwa na hayo magari hizo picha tena ni chache kilaza wewe ..apo daimond amekula shavu achana na wabongo njaa kali demu huyoo ana mkwanja mrefu

    ReplyDelete
  6. Madame Ujinga sembetuuu!

    ReplyDelete
  7. Eti mbwembwe hiyo airport madame wenu mbona ajapokelewa kama hivyo amekaa air port hadi anataka kugeuza akuna hata mtu alikwenda kumfuata kwendraaaa kule huyoooo

    ReplyDelete
  8. Donge tu eti mbwembwe mwambieni madame wetu apost picture zake kama alikwenda kupokelewa uyoooo

    ReplyDelete

Top Post Ad