Mwanafunzi wa Kidato cha Pili Ajifungua Ndani ya Daladala Baada ya Kumeza Dawa za Kutoa Mimba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Huyu ndio yule mtoto wa kidato cha pili kajifungua ndani ya daladala kwa Aziz Ally Dar.......anasoma Kesho sec
alijaribu kunywa dawa ya kutoa mimba mambo ndo yakawa hivo....yaani alivyovaa shungi sidhani kama mzazi wake ataamini....hivi nini kifanyike ili utapaji mimba kwa wanafunzi upungue/uishe....elimu ya mapenzi salama ifundishwe shule au wazazi wawe wawazi kwa watoto zao kuwaeleza njia salama za kufanya mapenzi maana KUMKATAZA haiwezekani maana inaonekana imeshindikana!

~Chanzo:Usipojipangantakupanga
-----------------------------------------
Every day I feel is a blessing from God. And I consider it a new beginning. Yeah, everything is beautiful.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Siku hizi watoto wanalelewa na faceboook, twitter na WhatsApp

    ReplyDelete
  2. jaman MUNGU awasaidie hawa watoto wa kike/ wa shule maana ni sheeeeeedahhh

    ReplyDelete

Top Post Ad