Ipi Adhabu Sahihi ya Mtu Anayetembea na Mke wa Mtu?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kuna jamaa mmoja ni mwalimu wa Secondary huko masasi anajifanya mende wa kutembea na mke wangu nimemuonya zaidi ya mara mbili, naona anakaidi huwa anavizia mimi nikitoka huwa anawasiliana mke wangu kwahiyo anatoka masasi anakuja Tanga nilitaka kuweka picha yake hapa ila mtandao unasumbua.

Sasa nafikiria ni adhabu gani nimpatie maana ananisababishia mgogoro wa kifamilia, hivi sasa natumia muda mwingi kumfuatilia yeye nyendo zake badala ya shughuli zangu, nilitaka kumuacha wife lakini mtoto wangu bado mdogo naogopa kumtesa mwanangu pia kuna mtu amenishauri nimtege wife, ila inaniuma sana nahisi nikimkamata sijui nimfanyaje, najitahidi ili niweke picha yake hapa ili ajione na watu wengine wamuone na mkewe pia amuone.

Ushauri wenu tafadhali
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Adabu yake tafuta vijana wenye nguvu uwalipe kisha fanya tego umkamate umrandishe uchi mtaa mzima bila kuwasahau vijana wa Global publisher OFA.

    ReplyDelete
  2. dah!! huku kwetu tmk kuna jamaa ilikua ndo tabia zake hizo.. akategewa mtego akanasa sasa hiv ni wali nazi aka bwabwa

    ReplyDelete
  3. hao watege mkamate mgoni wako, umpe adhabu ya mwaka, mkeo usimwache ni kweli mtoto wako atapata shida.

    ReplyDelete
  4. Hapo hakuna cha tego wala nini nwanamke wako kishaharibika na wanaume wa nje ukimuondoa kwa huyo ataenda kwa mwingine tu kaathirika tayari,kwanini atoke nje humridhishi au tamaa ya hela au pepo la ngono au labda nawewe ndivyo ulivyo tuambie tukushauri..,hapo hamna cha dawa wala tego hizo nimekutajia niroho chafu hamponi mpaka damu ya Yesu itakase hizo roho yaani MUOKOKE,km sivyo ndoa haidumu hiyo maana roho ya utengano imewaingia singekuwa mtoto au angekuwa mkubwa ingekuwa mwisho kuishi pamoja.,kubali upone kataa uangamie shauri ni yako au lako.,cku njema wadau....

    ReplyDelete
  5. sikiza mwanamke halisi na mwanaume halisi ha cheat katika ndoa yake bwana asikwambie mtu adhabu ya nini muachie uyo mke jamaa kiroho safi wanini sasa mwanamke ambeye ameolewa kisha anakuwa na mahawara wa nje maaanake wee hufai ndio manaake mjomba iyo ni dharau mke wako kakupa, achana nae tafuta mwanamke anayejiheshimu mbona bado wako usijitie pressure bure adhabu watapewa na mungu dont be a fool toa uyo mama apo kwako tuliza ball n then weka mwengine kwa muda wako mtoto atalelewa tu uyo ndugu yangu atakuletea maradhi mwende nyote mtoto mtamuacha akiteseka bure bora mko hai kila mtu achukue njia yake uyo mtoto asiku hold back kumuacha mkeo cant stand cheating aisee!

    ReplyDelete
  6. Kwani yy atombi? Kisa katombwa mke

    ReplyDelete

Top Post Ad