Ali Kiba, Diamond Katika Vita Mpya ...Ali Kiba Aapa Kuwamaliza Mademu Wote wa Diamond..Ameanza na Jokate

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Gazeti la Kiu Limepenyezewa Ubuyu kuwa Ali Kiba amebuni Vita Mpya Kwa Diamond Kwa kuwafyeka mademu wote walio wahi kuwa na uhusiano na Diamond..

Taarifa toka vyanzo vya ndani vinaeleza tayari Ali Kiba Ameshaanza mashambulizi kwa Jokate ..na tukio la hivi karibuni Uwanja wa Dar Live ambapo Ali Kiba Alisindikizwa na Mrembo Jokate limezidi kutia uzito Jambo hilo ambapo zimeanza kujadiliwa mitandaoni Hasa Instagram..

Mbali na Mtoko wa Hao wawili Dar live kwenye Instagram kuna akauti yenye jina la "Jokiba" ikisapoti Mapenzi ya Hao wawili ..Mtu wa Karibu wa Ali Kiba Alipohojiwa Alisema kuwa ni kweli hawa watu wapo karibu sana ila hana uhakika kama Wameanza Mchezo wa Baba na Mama...

Aidhaa kunaTaarifa nyingine kuwa Wema Sepetu ambaye naye alishakuwa ex wa Diamond siku hizi za karibuni amejaribu kujenga uhusiano wa karibu na Ali Kiba katika kile kinachoelezwa kuwa ni Kutafuta namna ya kulipiza kisasi kwa Diamond..
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kulipiza kisasi au umalaya
    ...

    ReplyDelete
  2. Ali kiba acha ujinga kutembea na mademu wake wa zamani sio vita hiyo inaitwa kula kwa zamu.vita ni kutembea na ZARI. Hiyo ni sawa na alshabab kufyatulia risasi kwenye makaburi wakidai wanalipiza kisasi acha uzuzu

    ReplyDelete
  3. Mjinga Alikiba!! Yaani bonge la ZUZU!

    ReplyDelete
  4. Na nyie mmekosa habari ya kuandika kwa kweli, hivi wanawake waliokuwa na Diamond wakaachana hawapaswi kumove on na maisha yao? Hawapaswi kutongozwa wala kupendwa tena? Wanatakiwa wabaki kuwa watawa tu? Kwani huyo Diamond aliwaoa? Au aliwakuta mabikiria? Si walikuwa wanawake wa wanaume wengine kabla yake, kwake wamepita na wataendelea na safari zao. Hata huyo Zari hapo anapita tu, kama mnabisha subirini muyaone, kama aliweza kumuacha mwanaume aliyezaa nae watoto 3 ndio atashindwa kumuacha Diamond?

    Aache uzuzu huyo Dogo, mwanaume Tanzania nzima sio peke yake na yeye wala sio Rais kivlie kama anavyotaka kuaminisha au kuwafanya watu wafuate, ni wa kawaida tu mwanamuziki kama wanamuziki wengine.

    ReplyDelete
  5. kiba huna mpya dogo huo sio ujanja hiyo midem mwenzio kaitupa we unaokota ni sawa na kutumia kondom iliyotumika jipange dogo

    ReplyDelete
  6. ama kwli ujinga hauna mwenyewe kama leo #Kiba anaapa kula makapi ya #Diamond???????

    ReplyDelete
  7. kiba we ndoo kina unajisifu kla makombo wakati wengine wamesha shiba!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad