Lowassa Acharuka 'Pekua Unapoweza, Niletee Sehemu Moja tu yenye Ushahidi wa Sauti ya Mwalimu Nyerere Kunikataa..Zawadi Sh Milion 20'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Watu wabaya jamani...mzee wa watu watu wanamzushia kinoma ili tu asiwe rais...yaani mpaka kuna wanao sema Nyerere alimkataaa..sasa yeye kasema hayo zawadi hiyo changamkia ...


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyu jamaa akikosa uraisi dahhh!! itakuwa shidaaa kwakd maanake unautaka kwa udi na uvumba!!

    ReplyDelete
  2. Nyerere anajibu yake kwa Allah Hana lolote la kuwasaidia watanzania sauti yake ma ¥¥¥ss

    ReplyDelete
  3. Chizi kumbe lowasa? Wewe na kikwete mlikataliwa kwenye ujumbe wa Nec akaibuliwa Mkaba tulisikiliza taarifa ya habari Redio Tanzania, Mwl nyerer aliuliza tunachagua umaarufu au tunachagua raisi? Kumbukumbu zipo kwa watu tape kama zipo basi za redio Tanzania, mla rushwa mkubwa wewe danganya vizazi vipya hawakujui ila vijana wa enzi za mwalimu hawadanganyiki, kama unauhakika na usemaya dhibitisha kauli ya mwl aliyokwambia kwenye Nec wewe na kikwete,,,,,

    ReplyDelete
    Replies
    1. jamani peleka ushahidi.. million 20 hizoo.. acha kupayuka kama una mavi... paka

      Delete
  4. Richmund kaaa pembeni bora kura yangu ni baki nayo uraisi kwako noooo,,,,

    ReplyDelete
  5. Mwaka 1995 Mwl. Nyerere alikaririwa ndani ya kikao kikuu cha CCM akisema,

    "Hapa hatuchagui mtu maarufu, tunachagua mtu safi na huyu si safi. Kama unapenda sura yake basi nenda kanywe naye chai. Wengine mnasema aaah ni tuhuma tu. Samuel (Sitta)! Yusuf (Makamba)! Mnasimama hapa mnasema ni tuhuma tuhuma tu! Lakini mtakumbuka mke wa Kaisari alipotuhumiwa kwa ugoni Kaisari akaagiza uchunguzi ufanyike. Uchunguzi ukafanyika na ikabainika kwamba sio kweli. Lakini Kaisari bado akamuacha, akasema mke wa Kaisari hapaswi hata kutuhumiwa. Na sisi hapa Mgombea wetu hapaswi hata kutuhumiwa wakati wapo wengine safi ambao hawana tuhuma. Kama mkimteua huyo mimi sitapiga kampeni. Siko tayari kumsafisha mtu matope halafu ndio nimuombee kura. Hapana kabisa. Huyu mimi najua si msafi na nchi nzima inajua si msafi. Hafai kuwa mgombea wetu."

    HAYA MH. LOWASA NITUMIE MIL 20 ZANGU NOW NOW... TAPE YENYE SAUTI YA MWALIMU IPO RTD, UNABISHA

    ReplyDelete

Top Post Ad