Mkuu wa jeshi wa Burundi atangaza kumpindua rais Pierre Nkurunziza

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mkuu wa jeshi la Burundi amedai kuwa rais Pierre Nkurunziza amepinduliwa kufuatia kuwepo kwa fujo zilizotokana na mpango wake wa kugombea muhula wa tatu.

Meja Jenerali Godefroid Niyombareh amesema kamati ya uokozi imetengenezwa japo kiwango chake cha kuungwa mkono hakijulikani, BBC imeripoti.

Maelfu ya watu waliokuwa wakiandamana kwenye mji mkuu wa Burundi, Bujumbura wameripotiwa kuwa wanasherehekea kwa sasa.

Rais Nkurunziza kwa sasa yupo hapa nchini Tanzania.

Akaunti ya Twitter ya ikulu imesema mapinduzi hayo ya kijeshi yameshindwa.

Nkurunziza amekuwa akikutana na viongozi wengine wa Afrika Mashariki kujadili mgogoro huo. Msaidizi wake amekanusha kufanyika kwa mapinduzi hayo
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HEEE HAWA VIONGOZI WA AFRICA WANA MATATIZO GANI? NA HAYA MADARAKA YA URAISI, HAWANA LOLOTE, WAMEPAONA NDIO SEHEMU YA STAREHE YA MAISHA CHEO CHA URISI, KWA KUWA KUIBA KWA SANA NA KUHUSUDIWA, WATU HAWAMTAKAI SI ATMKE MPAKA WAJE WAUWAWE BURE

    ReplyDelete

Top Post Ad