Ni kweli Linah anapaka Vipodozi vya kumfanya awe ‘Mweupe’?… #Uheard

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya comment kadhaa kutoka kwa mashabiki na watu wanaomfuata Linah kupitia mtandao wa Instagram, mwenyewe aliamua kuandika maneno ambayo yametafsiriwa kama ni majibu kwa zile comment ambazo si nzuri kwake.

kwenye post yake Linah alianza kwa kuandika ‘Jamanii nimechoka Na kufuru zenu, hivi naomba niulize ufupi wangu, kukomaa kwangu, mkorogo wangu vinawahusu nini? Ni naomba mfatilie kazi zangu tu vingi be ni vitu vya kawaida kila binadamu kuambiwa kasoro zake!
Kwenye sentensi nyingine ameandika ‘Hvi wale ambao Hawana mikono Na miguu Na wao walie vipi kwa Mungu? Namshukuru hivi nilivyo. Mbona mnapenda kutoa hukumu kama nyie ndyo Israeli?! Ifike kipindi tukumbuke kila mtu anamaisha yake! Naona mnaandamana sana Na maisha yangu’

Mwisho aliandika ‘Kuna ambae hata alimsaidia mama yangu wakati anapush hospitali? Hivi kumbukeni mnawazazi pia Na nyinyi mlizaliwa pia,kama nyie Mungu basi nibadilisheni mniumbe mtakavyo, nyie ni kina baba Na kina mama wa badae kumbukeni mtazaa Na nyinyi then tuone! Chozi langu hili haliendi bure!! U will pay it back maana nimechoka Na masimango yenu’

Ndipo Soudy Brown wa Clouds Fm aliamua kumpigia simu na maongezi yao unaweza kuyasikia mtu wangu kwa kubonyeza play hapo chini lakini unaweza kuisikiliza Clouds Fm ukiwa Shinyanga kupitia 87.5.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad