Ommy Dimpoz: Sikualikwa ‘Zari All White Party ila sina tatizo na Diamond

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwa mujibu wa hitmaker huyo wa ‘Wanjera’, kunyimwa mwaliko wa kuhudhuria party hiyo hakumaanishi kuwa ana tatizo na Diamond.

Ommy alikuwa akihojiwa na kituo cha Radio 5 cha jijini Arusha weekend hii alipoulizwa kama amealikwa kwenye party hiyo.

I am not invited,” alisema. “Lakini sina tatizo na Diamond, hajawahi kunikosea. Kikubwa ni kwamba amekuwa ni mfano kwa wasanii upcoming kwasababu hata mimi nimemkuta kwenye muziki na ni mmoja wa wanamuziki ambao walikuwa wananivuta hata mimi kuwa achana na mambo ya bendi na kuwa solo artist.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Haukualikwa ilkuwa sherehe ya familia?labda mm sijui kuwa wale watu walio hudhulia ni wa wageni waalikwa.

    ReplyDelete

Top Post Ad