Shilole Kiuno Awapigia Magoti Wanawake Wote na Kuwaomba Radhi Kwa Kitendo chake cha Kumwaga Radhi Jukwaani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

BAADA ya wiki kadhaa kupita tangu picha zake zisambae zikimuonesha gauni likiwa limevuka nakuachia ‘nido’ wazi, staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameibuka na kuwaomba radhi kinamama wote.

Akipiga stori na Over The Weekend, Shilole alisema kuwa anajua kwamba kitendo hicho kimewakwaza wengi na hakukusudia kufanya jambo kama lile. “Nimejifunza mengi na naendelea tena kuomba msamaha kuwa tatizo hili halitajitokeza tena ,niwaombe radhi kina mama na mashabiki wangu,” alisema. Shilole alifanya tukio hilo alipokuwa jijini Antwepen, Ubelgiji kwenye shoo ambapo aliongozana na mpenzi wake,Nuh Mziwanda
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sasa anaomba radhi huku amevaa the same "nguo isiyo na maadili"! Kazi kwelikweli

    ReplyDelete
  2. Anamomba nani radhi? mjinga tu huyu amevaa nini hapo au siku hizi amekuwa kipofu haoni alichovaa?

    ReplyDelete
  3. anaomba radhi akiwa uchi ndo nini sasa? anahitaji kuombewa



    ReplyDelete

Top Post Ad