Majibu ya Diamond Platnumz kuhusu beef, uchawi, kulipia collabo, Team za mitandaoni.. (Audio)

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Diamond Platnumz alikuwa live kwenye XXL @CloudsFM, kuna vingi kaviongea Exclusive, nilipata nafasi kumsikiliza na hivi ni baadhi ya vitu alivyoviongelea leo June 6 2015.

Unadhani Diamond anaamini uchawi >>> “Japokuwa vitabu vya dini vinasema ‘ndele’ zipo lakini  haupaswi kuamini… Kuamini ni sawa na kumkiuka Mwenyezi MUNGU”>>>

Kuna beef kati yake na Ali Kiba? Na vipi zile Team kwenye Mitandao ya Kijamii >>> “Sijawahi kuwa na beef nae hata siku moja… Sioni kama kuna ubaya wowote, kila mtu ana maamuzi kumchagua mtu anayemtaka yeye kumshabikia, huwezi kumlazimisha mtu” >>>

Wawachukue msanii fulani na msanii fulani wawashindanishe na wasanii wa nje, ukiwashindanisha wasanii wa Tanzania haiwezi kusaidia Industry yetu.

Kuna malipo ya collabo >>> “Sijawahi kufanya malipo kufanya nyimbo na mtu yoyote.. Mwanzoni ilikuwa tabu, sasahivi wanafahamu kwamba kufanya nyimbo na Diamond inakuwa rahisi nyimbo kufahamika East Africa… nimefanya collabo na karibuni wasanii wote wakubwa Africa.” >>>

Show ya MTV Road to MAMA Nigeria aliipataje? >>> “Ni mwaliko wa MTV, wa kwanza nilipewa South Africa nikafanya vizuri, wakaona wanipe na sehemu nyingine”>>> Diamond.

Hiki ndio alichojibu kuhusu kupigiwa kura za MTV Awards 2015 >>> “Wanaoona kuna umuhimu hizi Tuzo zije Tanzania waendelee kupiga kura, anayeona ni sawa kumpigia mwingine ni sawa… Uzalendo haununuliwi, huwezi kumlazimisha mtu”

“Muziki wetu umekuwa na nafasi nzuri sana Africa, ni kazi kubwa sana imefanywa… Kuna utaratibu unaandaliwa kuona kama tutaweza kuwabeba watu kama mashabiki na Watangazaji..

Tupige kura kwa siku hata mara moja sio mbaya, kama tulichukua ‘Channel O’ sasa hivi tutashindwaje”


Millard Ayo
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dai anajikomba ili apigiwe kura, subiri azipate tuone atakavyo wachamba wa tz.

    ReplyDelete
  2. AKITAKA LAKE LIMUENDEE ANAKUWA KAMA DIGIDIGI, AKISHAPATA ANAWALISHA WATU NDIMU.

    ReplyDelete
  3. Nilikuwa na mzuka nae zamani siku hizi kanitoka hata tuzo zisipokuja bongo sioni shida yyte, kwani pesa anapata yeye.

    ReplyDelete
  4. Domo aache dharau, akumbuke aliko toka.

    ReplyDelete
  5. Acheni roho za chuki jamani,hakuna anaelazimishwa kumpigia kura kila ck amchoki tu kutoa maneno ya zarau kwa binadamu mwenzenu?roho mbaya haijengi

    ReplyDelete
  6. Acheni roho za chuki jamani,hakuna anaelazimishwa kumpigia kura kila ck amchoki tu kutoa maneno ya zarau kwa binadamu mwenzenu?roho mbaya haijengi

    ReplyDelete
  7. vp ww alikudharau ?@Anonymous 9:00pm

    ReplyDelete
  8. yani hii misenge ina chuki binafsi tu....mamayo zenu na msipige kura tu wachawi wakubwa nyie.....mnadhani ndo mnatoa riziki nyoko nyie!!!riziki anatoa mungu tu kama ni wakupata atapata tu. Mna chuki utadhani kawalalia mama zenu mikundu nyie.....

    ReplyDelete
    Replies
    1. punguza ukali wa maneno. polepole wameelewa

      Delete
  9. hata wewe Anoy 2.35 AM. pia alikudharau hujui kusoma japo macho unayo. roho mbaya alianza Dai na wa tz wakafata. kama wewe unamuona mzuri na huna zarau mpigie kura.

    ReplyDelete
  10. tuzo zinakuja bongo wenye wivu na chuki mtajibeba
    unadhani ye hana akili kufanya shoo nchi za nje
    hategemei sehemu moja coz anajua wabongo ni vigeugeu sana na wanawivu na chuki sio wazalendo hawataki mtu afanikiwe..... na bado tuzozinakuja bongo ndo watakaposhangaa

    ReplyDelete

Top Post Ad