Je Wajua Kuwa Diamond Anapendwa Kenya Kuliko Tanzania ? Ona Jinsi Alivyopokelewa Nchini Kenyaaa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nimekuwekea picha hapa jinsi Dimond alivyopokelewa kwa shangwe la nguvu huko Nairobi...

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mbona sio wengi, wacha uongo udakuz.

    ReplyDelete
  2. sio wakenya hao, ni wazt tuu. nao ni 10. wakenya hawana muda huo, safari hii kashindwa kuwalipa waendesha boda boda aonekane ana fans wengi.

    ReplyDelete
  3. MBONA SIYO WENGI KAMA ZAMANI? LAANA YA MZEE ABDUL INAANZA TARATIBUUU.

    ReplyDelete
  4. wala siyo wakenya jana walisema wamemchoka ni wa tz au ug, tena ni 15 tuu +watoto

    ReplyDelete
  5. udaku umeona watu hawajamshobekea ukaona uanze kujipendekeza kama kawaida yako, tunajua wewe ni house boy wa Domo na Sinta ni house geily, haaaaaaaaa,

    ReplyDelete
  6. kwendraaaaaaaaaa! mwisho wa uongo aibuuuuuuuuuuuuu! udaku huna haya hata kudogo Dai kaishiwa hajawahonga watu wakampokee, hilooooooooooooo.

    ReplyDelete
  7. uongo mtupu, kaona watu hawakuja wengi, kaenda kuhonga wasichana wa hotelini 5. eti wamemgongea ghafla mlango wamuone na kamera zilikuwa tayari kuwapiga picha. jamani ebut tumieni akili hata kama hamjasoma.

    ReplyDelete
  8. WADANGANYENI WATANDALE SIO WAMUJINI, NA WALE WASICHANA ALOPIGA NAO PICHA HOTELINI ETI WALIKUJA HAFLA KUMGONGEA MLANGO LOL, MNATIA AIBU KWAKWELI.

    ReplyDelete
    Replies
    1. na bado mtanyoka ntuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

      Delete
  9. Nyote mlotuma msg mtakufa na vijiba vya roho na roho zenu mbayaaa mwenzenu Mungu ameisha mpa tayali ata mfanyeje hawezi kushuka kila siku anajiongezea mafans nyinyi kalieni majungu mwenzenu anapiga pesaa

    ReplyDelete
  10. Inaelekea Diamond Ana hela Sana manake kila kitu anaambiwa kahonga,mashabiki,tuzo,yaani mpaka tuzo za nje ya Tanzani watu washaanza kusema anahonga looh!

    ReplyDelete
  11. sasa wewe unaye bisha ulikuwepo?mbona mnamchukia dai hivyo?

    ReplyDelete
    Replies
    1. hao watakuwa wanadhurum nafsi zao hata wakimchukian wanamsaada gan kwa dai \

      Delete
    2. edna acha waseme wanavyo jua ila dogo anapiga pesaaaaaaaaaaaaaaaaaa....

      Delete
  12. Dai ana pesa za kubadilisha mboga, ni sifa na kujipendekeza au mikopo ya bank ndio inayomsaidia siri ya mtungi aijuae kata, na atakae kufa kwa kijiiba cha roho niwewe ANONY 11.19 hakuna mwenye shida nae ila penye ukweli uongo ujitenga, au muamimini huyo udakuz ni hanithi wake kama wewe.

    ReplyDelete
  13. mh?????????????????????????????????????????????????

    ReplyDelete

Top Post Ad