Wema Sepetu Adaiwa Kuvunja Ndoa ya Esma Platnumz na Petit Man

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

HALI si shwari kwenye familia ya Kampuni ya Endless Fame Productions kufuatia madai mazito yanayomgusa mkurugenzi wake, Wema Isaac Sepetu akihusishwa na kuvunjika kwa ndoa ya mdogo wa mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ almaarufu kwa jina la Esma Platnumz aliyeolewa na Hamad Manungwa ‘Petit Man’.

Mdogo wa mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ almaarufu kwa jina la Esma Platnumz akiwa na mume wake  Hamad Manungwa ‘Petit Man’ siku walipofunga ndoa.

MAI NDANI
Katika sakata hilo, mtangazaji maarufu Bongo, Maimartha Jesse ‘Mai’, Esma na Mtangazaji Nasra Rajesh ‘Lady Naa’ wanadaiwa kuunda kundi lenye lengo la kuwasuta wezi wa waume za watu (Wema aliwekwa kwenye tageti) lililopewa jina la Al-Shabaab.

Esma Platnumz akiwa na mume wake  Hamad Manungwa ‘Petit Man’.
Wakati mpango huo ukiendelea, Mai anadaiwa alielezea mkasa wa kuvunjika kwa ndoa ya Esma na Petit Man kwenye Instagram huku akimtaja Wema kuhusika kwa mafumbo, jambo lililomfanya staa huyo wa filamu (Wema) aogelee matusi ya kutosha.

MADAI YA WEMA KUHUSIKA
Madai kamili yanamhusisha Wema na uvunjifu wa ndoa hiyo akituhumiwa ‘kuchepuka’ na Petit Man kwa muda mrefu sasa huku mwenyewe akikanusha vikali.

USHAHIDI WA MESEJI
Madai yalizidi kushushwa kwamba, sakata hilo lina ushahidi ikiwa ni pamoja na Esma kubamba meseji zisizo na dalili njema kutoka kwa Wema zikiwa kwenye simu ya Petit Man.
“Ukibahatika kukutana na Esma halafu umkute kwenye ‘mood’ ya kuongea, atakueleza jinsi mume wake alivyokuwa na ukaribu wa kupitiliza kwa Wema. Yawezekana hawakuwahi kuchepuka lakini ukaribu wao ulikuwa wa kupitiliza kiasi cha kuibomoa ndoa hiyo.

SIMU ZA WEMA HADI USIKU WA MANANE
“Esma anadai kuwa kuachana kwake na Petit Man hakuhusiani sana na meseji za Diva (Mtangazaji wa Clouds FM, Loveness Malinzi) kwani hizo zilisherehesha ugomvi wao tu, ila kilichomfanya hadi akaamua kubwaga manyanga ni utitiri wa meseji za wanawake na simu kibao za Wema kumhitaji Petit Man hadi usiku wa manane wakati ni mume wa mtu,” kilidai chanzo hicho.

WEMA ANASEMAJE?
Kufuatia madai hayo, Ijumaa lilimtafuta Wema  alipopatikana alisema: “Mimi nimekuwa nikimsapoti Petit kwenye mambo yake na Esma, sasa kama kuna watu wanasema maneno ya kunifanya nionekane mbaya, hao ni watu wasio na nia njema na mimi.
“Nakaa na Petit kama mwanangu lakini pia ni mfanyakazi wa Endless Fame na Esma sina tatizo naye, zaidi watu wanaibua tu mambo yao. Sipendi kabisa…”
ESMA KIMYA
Esma alipotakiwa kufunguka juu ya madai ya Wema kuhusika kwenye kuvunjika kwa ndoa yake alisema kwa kifupi: “Hilo suala liko kwenye ngazi ya kifamilia, siwezi kuliongelea kwa sasa.”

WEMA AKEREKA
Kufuatia maneno ya kuuma kwenye mtandao aliyokuwa akiendelea kuandika Mai, Agosti 18, Wema alishindwa kuvumilia hivyo kwenda kumripoti kwenye Kituo cha Polisi cha Kijitonyama.
Paparazi wetu aliponyetishiwa ‘ubuyu’ huo wa Wema kulifikisha ‘soo’ hilo polisi, alinyanyua mguu hadi kituoni hapo ambapo alikutana na askari wakiongozana na Wema hadi Mitaa ya Sofani, Kijitonyama ambako kuna duka la Mai lakini hawakumkuta hadi kesho yake (Jumatano asubuni) alipotiwa mbaroni.

MSIKIE MAI
Baada ya Mai kufikishwa kituoni hapo alishikiliwa kwa saa kadhaa akihojiwa na alipotoka na kutakiwa kusema chochote kuhusiana na tukio hilo alisema:
“Huu ni mziki mnene, Wema amechokoza moto.”

PETIT MAN NA ESMA
Katika ndoa yao, Petit Man ambaye ni mmoja wa wafanyakazi wa Endless na Esma wamedumu kwa takriban miaka miwili na kujaliwa mtoto mmoja kabla ya mambo kwenda mrama hivi karibuni.
GPL
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

26 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wamechokana wenyewe waachane, wasimsingizie Wema.

    ReplyDelete
    Replies
    1. ndio tatizo la watu baki, kutwa mnakurupuka kisa mungu mtu kakana.

      Delete
  2. hivi matatizo ya ndoa huwa yanaingiliwa jamani, hebu wamuache Wema afanye yake, wivu tuu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. ngoja abebe mumeo urudi kusema hayo mavi yako tena

      Delete
  3. kila kitu Madamu na huyo Mai mapengo nae anaona hana kiki anamtafuta Wema

    ReplyDelete
  4. watakufa wima kwa kumchafua Wema.

    ReplyDelete
    Replies
    1. kwani wema mama yako mbona mishipa ya nyuma imekutoka hivyo

      Delete
  5. hivi kwani kwenye simu ya mume wake anatafuta nini eishy,,, sasa ndio anajua ngazi za familia alipokua anamwagaa mtandaoni jeee? ila ata bado hajakoma mana sasa hatumii mwenyewe ila anatuma watu jameni!!!! ndio ustar ama nini msxiiiiiiu

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe ndio nungaembe gubegube usiye na haya kutwa kudandia wanaume wa watu ila bahati ya kuleowa huna.

      Delete
  6. siku hizi hata wamama wazima wakiona hawana kiki wanaanzisha ugomvi na Wema, sijui hizo biashara za kukuza matako wanaziuza saa ngapi.

    ReplyDelete
  7. Huyu Wema anayesifiwa kuwa ni supa staa wa bongo movie mbona kuna mastaa wamecheza movie nyigi kuliko yeyekama kina Ra na,JB lakini hawana mkwanja kama yeye? Wema ana biashara ya kuuza nini?

    ReplyDelete
    Replies
    1. shosti staa wa kuuza kwa bibi, short time inahuu

      Delete
  8. Mapengo hana haya yaani anavyomfatafata Madamu hata sababu hakuna, kisa anabwana polisi Nashanga!

    ReplyDelete
  9. hivi huyo mayi biashara imemdodea au...mbona haeleweki? si mke wa koplo sijui sajent makumbwa kutwa kutafuta ugomvi na wasichana wadogo.

    ReplyDelete
  10. MJINI BILA KUTAFUTA KIKI KWA WEMA HULI WALA HULALI. KILA NJIA WANAITAFUTA KASHINDWA SINTA ITAKUWA MAPENGO.

    ReplyDelete
    Replies
    1. kwa lipi hasa alichonacho? hela mpaka mcongo aje, elimu f4 leaver, mwili ameuchezea, ajira ndio kichekesho hebu mtupishe tupumzike

      Delete
    2. Haswaa kwa lipi alilonalo huyo Wema mpaka hao wapumbavu wadai anaumiza watu vichwa. Mpaka leo anakaa nyumba ya kupanga. Anategemea wanaume wa watu wamuhonge magari na kumlipia kodi.Kajikoroga mpaka uso umemparama.Mama ake ni ex bar maid alieokotwa na mzee sepetu.Wanaomsifia wachovu kaa yeye ila wanajitutumua. Mfundisheni huyo Wema wenu kupaka wanja. Ana ramani ya peke yake. Na domo lake limeweka ufa kwenye lower lips.Paka shume.

      Delete
  11. wanaacha kulea waume na watoto wao kutwa Madamu, mnalo limewaganda

    ReplyDelete
  12. ESMA NAYE HAJAFUNZWA KAMA KAKA YAKE ASITAFUTE PAKUANGUKIA
    AMKOME WEMA KWANI HAKUJUA TOKA MWANZO KHAAAAAA YAMEMSHINDA KWANZA FAMILIA HAIKUMTAKA KAKA WA WATU SO ASITAFUTE SABABU AENDE MWANA KWENDA KAMA MNATAKA JESHI LA KUFUNDA WAUME ZENU KAENI TULIZENI VISODA VYENU. MNANUKA MIKOROGO NGOZI ZIMEDONDOKA NA KUJAA MICHIRIZI HALAFU MTAFUTIE WATU UBAYA KHAAAAAAA

    HUYO WEMA ANAWAUMZA SANA EEEH

    ReplyDelete
    Replies
    1. mbona moshi wakutoka, vipeeeee mabuzi yamekata kamba nini?

      Delete
  13. Kweli wema sepetu ni kula ya watu wamedoda s\asa wanatafuta kiki kuppitia yeye maana kama huyo mapengo mimi nilishasahau kama yupo lol

    ReplyDelete
  14. MALAYA WA CCM KAMLIZA MALAYA WA CCM KIVUMBI TEGEANENI KUKUTANA KWENYE JUKWAA LA MAGUFULI MFUNUANE HAPO.ITAKUA SENEMA KALI.KWA KUA NA STRAUSS ATAKUWEPO PALE JANGWANI KITAKUA KICHEKO CHA JUKWAA KUU.BAADA YA MKUTANO MGAWANYWE HUKU KULE

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hâta wakigawanywa ww inakuuma nn?au umekosa make pov livokutoka yaelekea umekosa nafasi ya kumnadi mgombea,hebu tiondolee shombo hapa.

      Delete
  15. dua la kuku halimpati mwewe, Mtakufa midomo wazi kwa hasira na wivu kwa Wema. na bado.

    ReplyDelete
  16. WIVU KWA NYINYI MALAYA KOKO WA CCM WEWE ANONYMOUS AUGUST 22,2015 hutokufa Bila shaka ni NAPE MAKONDAA Ila adhabu za ufirauni wako unatembea nazo kwani hata Mbwa akikutongoza unamlegezea chap chap.Vipi ulipoenda Dodoma kwa wito wa Strauss naye alikubembea,mwanaharam mkubwa wee.

    ReplyDelete
  17. malaya koko mama yako mbwa we kumamayo msenge puani si unataka kifo wewe!!!!!!!111

    ReplyDelete

Top Post Ad