PICHA: Mafuriko ya Lowassa Tanga Haijawahi Tokea...Watu Hamsini Wazimia Kwa Kukosa Hewa..Mkutano Wahairishwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kampeni za mgombea urais kupitia ukawa zilizokuwa zifanyike Tanga leo zimeahirishwa kutokana na msongamano mkubwa sana wa watu ambao wamekuwa wakibanana na kukosa hewa na kupelekea watu kupoteza fahamu.

Mkutano huo umeahirishwa ili watu wasiendelee kufurika. Na hii ni baada ya watu zaidi ya 50 kuzimia

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wako ambao.kila uchao wanayapuuza yanayotangazwa ila tusubiri ukweli tarehe 25 Oktoba je ni watoto walikuwa wanahudhuria au ni wapiga kura wataka mabadiliko

    ReplyDelete
  2. watu wanataka mabadiliko tumechoka kuwa watumwa wa chama kimoja

    ReplyDelete
  3. C C M wanayo kazi ya kuwaeleza wananchi wapi walikosea....sasa ni zamu ya UKAWA kuongoza nchi kwa AMANI na kuondoa UMASKINI ambao unaikabili TANZANIA kwa miaka mingi sana, wakati WATANZANIA hatuitaji kufa WAMASKINI kwani UTAJIRI tunao.....C C M wamejitajirisha sana na familia zao wakati wananchi wanakufa na njaa.SASA TUNAHITAJI MABADILIKO YA NGUVU....Na wale wanaojifanya C C M oyee wananjaa wanapewa buku moja na Mjinga MAKAMBA BASI WAMERIZIKA... OCTOBER NI FINAL... Ole wenu!!!

    ReplyDelete
  4. Lowassa lowassa lowassaaaaaa...pipoooooooooozzzzzzz...hiyo ndio nguvu ya umma bwana mwaka huu mkubali tu kama Nigeria ili uondoke na heshima ila mkigoma kwa hali hiyo lazima kitanuka....alf nimegundua dr. Slaa ndo alikuwa anahasisha fujo yani toka campaign zimeanza hakuna fujo zaidi ya ccm kuchochea na zimeshindwaaaa hatuleti fujo tunataka mabadiliko ya amani na inawezekana democrasia ikifuatwa

    ReplyDelete
  5. Twaweza mpo Hapo? Watanzania tufike mahali tuwe wakweli na wazalendo wa kweli,nyomi hivi kila mkoa halafu watu wa utafiti wanakuambia asilimia 22 ??? Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni

    ReplyDelete
  6. Dalili za u-freemasons,mtatumaliza.

    ReplyDelete
  7. Kikwete ndio alaumiwe na wana ccm kwa kuwakumbatia mafisadi. viongozi wameiba sana kwenye nchi hii alafu yeye awafanyi chochote kwaiyo na yeye ni fisadi

    ReplyDelete
  8. Napenda mabadiliko,lakini hii ya kututenganganisha kidini ni kikwazo kikubwa kwangu.
    NITACHAGUA CCM

    ReplyDelete
    Replies
    1. Utakuwa na matitzo binfsi au wewe ndo akili yako imetengana au wewe mewnyewe ni tatizo. Mbona watu hatujatengana?

      Delete
    2. Tatizo la wafuasi wengi wa CCM na wagombea wao hawana uhalisia wa yale wanayosema. Huyu anatudanganya eti anataka mabadiliko wakati kiukweli anataka CCM na CCM anayoitaka hana sababu ya kuitaka. Maneno mangapi ya kidini yalishasemwa kwenye hii nchi? Je tumetengana? Sishabikii vitu hivi bali nataka kusema si sababu ya kuchagua au kutochagua mabadiliko unayosema unataka.

      Delete
    3. Watanzania wote ni ndugu sasa mambo ya udini yametoka wapi na kiukweli ukiona mtu mwenye akili timamu bado mbaka kalne hii anaikumbatia CCM bas jua kuwa ana alingumu kiuchumi ivyo bas ana danganywa kwa kapelo,khanga na vitishet kwa kifupi mvivu wa kufikili na umaskini ni sehemu ya maisha yake.

      Delete
  9. Mungu anaweza kufanya chochote anacho kitaka tumuombe mungu atupe kiongozi anae mtaka yeye sio wanao mtaka wanadamu mawazo yya mwanadamu ee mungu ikumbuke Tanzania tunaitaji kiongozi anaetoka kwako hatitaji vita tunataka Amani ionekene mpaka uchaguzi utakapoisha tupe kiongozi alijaa hekima kama ulivomchagua mfalume Sulmani.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mungu amsimamie Huyu Lowasa aingie ikulu, Mi watanzania wanaoipa maksi CCM aaaah no haina hadhi ya kuandikwa kwa herufi kubwa nasema hawa ccm nawaona kama wachawi yaani mtu anachukua mamilioni afu anasema pesa ya mboga, eeeeh vijisenti akati kuna watu wenye matatizo, yatima wanakula mlo mmoja, hospitalini hamna madawa jamani tuyaangalie hayo, MUNGU uketie mahali pa juu mfanyie wepesi Lowasa.

      Delete
    2. Mungu mtangulie Lowasa kwa kila alitakalo kufanya wewe uwe mbele yake na hata siku ya uchaguzi wewe ndio uwe msimamizi mkuu,,maana kwa nguvu zetu hatuwezi hawa vibaka wazoefu wa kura

      Delete
  10. HAPEWI MTU NCHI HAPAAA.
    RAISI HAJIWEZI MWENYEWE ATATUWEZA WATANZANIA?
    MXXXXXXXXXXXX

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hii nchi ni Ya Watanzania na wameishaikamata. Huna uwezo wa kuitoa. Ulipotoza watu. Unambavu gani kusema nchi hapewi mtu ambapo Wananchi ndio wamiliki. Huna akili.

      Delete
  11. SISI NDIO TUNAOCHAGUA NA KUMUWEKA RAIS SASA CCM KM MTATUMIA NGUVU YA DOLA KUMUWEKA MAGUFURI WENU,MTABADILISHA HISTORIA YA TANZANIA KUWA NCHI YA AMANI NA WASIHI KWAMBA KL CHENYE MWAZO HUWA NA MWISHO, UA MLITAKA KUTUTALAWA MPK VITUUUVYENU ?MAPESA ULIYO IBA NA WATOTO WENU SASA YAMETOSHA.TANZANIA NI YA WATANZANIA SIO CCM SASA MKILAZIMISHA UTAKIONA CHA MTEMANI KUNI.

    ReplyDelete
  12. JINS TUNAVYO AMINI WATANZANIA WENG NI KWAMBA LOWASSA BADO KUAPISHWA TU.

    ReplyDelete

Top Post Ad