PICHA ya Ndege Mbugani Ikionyesha Twiga Akipandiswa Kwenye Ndege...Je nini Kinaendelea ? Ni Photoshoped Au?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Siku ya Leo Kwenye Mitandao ya Kijamii zimesamaa picha zikionyesha ndege ya Nje akiwa Mbugani Huku Baadhi ya Watu wakishughulika Kumpandisha Twiga kwenye ndege hiyo....
Watu wengi Wamelaani kitendo hicho kwa kukumbushia tukio la Twiga Kusafirishwa kupitia Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro....

My Take: Nimebahatika kutumiwa picha hii hapa chini ambayo inafanana na hiyo hapo juu bila kuwa na hiyo picha ya Twiga na hao watu Wakimshusha Twiga Kwenye Gari...kitu ambacho kwa Haraka Haraka inaonyesha Picha  ya Juu ni Photoshoped......

Mdau Embu Angalia na wewe hizo picha mbili na Utoe maoni yako....
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kinana WA CCM huyo
    Kiongozi wa kampeni WA magufuli
    Watanzania mpo

    ReplyDelete
  2. uchaguzi huu umetekwa na maigizo watu wanatumia mitatandao kwa propaganda pamoja na wanahabari wamejingiza ndani ya siasa tutegemee tusiombe yatokee kama ya kenya muda huu magazeti karibuni ya yote yamejaa habari za udaku majungu na kukuza habari zisokuwa na maana taifa ss linapelekwa kiudaku udaku tu baada ya waandishi kusahau mchango wao katika taifa letu wakaona majukumu yao kufanya siasa na kuendelea kuwaaminisha watu kwa masilahi yao wao kwa kutaka madaraka na ulafi wa pesa itikadi ya vyama tuweke pembeni hawa watu tusipo waangalia watatutia katika matatizo makubwa.

    ReplyDelete
  3. Tupo sana mmeitengeneza vijama wa Mboweeee mtaisoma namba sidanganyikiiii acha nife na umbuluka wangu nampenda Magufuli.

    ReplyDelete
    Replies
    1. utakufa bila kujua.hii ilitengenezwa vipi zile za loliondo.walitengeneza.Kilimanjaro pia au.
      Vipi tukisema hiyo ya chini ndio photo shop?wewe ni mpumbavu na lofa.

      Delete
  4. sasa wewe kama mwandishi kwanini unachagua side?? au kwanini usiseme hii pic ya chini ni ipo photoshoped ili kuondoa ushahidi??

    kumbuka haijalishi kama ni ya kweli au sio fact itabaki kwamba kuna Twiga walitoka tz na kupelekwa Uarabuni na viongozi wa serikali y ssm bdo walihusika na baadhi waliwajibishwa.

    ReplyDelete
  5. TATIZO UPINZANI MKO SO DESPARATE! IKULU KUNA NINI?
    SUBIRINI KWANZA MKIJA NA RAISI MWENYE UWEZO WA KUTUPA SERA ZAKE WAZIWAZI MITANDAONI KIJIJINI HAWAWEZI KUSWAP SWAP SWAP!!!

    ReplyDelete
  6. uko huru kumpenda yoyote duniani, hujaambiwa unaonyeshwa twiga ili umpende mtu mwingine, tatizo kuna baadhi ya wadanganyika bado akili fupi!! namtabaki hvyo hvyo!!! mburulalazzz!

    ReplyDelete
  7. kwani twiga waliibwa ama hawakuibwa.....hata ingekua kua ni photoshoped haina shida ni kama kibonzo tu cha masudi kipanya kinatufundisha na kutukumbusha wezi wa ccm.

    ReplyDelete
  8. Kinana huyo
    Kwani bajeti imekwisha ya kampeni lazima tembo, twiga, faru
    Wauzwe
    Chezea CCM wewe

    ReplyDelete

Top Post Ad