Tetesi:Hali si Shwari Lumumba Timu ya Kampeni ya Dr Magufuli imeingiwa na Kiwewe cha Kushindwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Hali si shwari Lumumba timu ya kampeni ya Dr Magufuli imeingiwa na kiwewe cha kushindwa.

Baada ya Dr Pombe Magufuli kuzidiwa katika kampeni zinazoendelea viongozi wa kampeni wakiongozwa na Col Kinana wameanza kuparurana huku muda wa kampeni ukizidi kuyoyoma.Mnyetishaji anazidi kufunguka baadhi ya wapiga debe wameondolewa baada ya kubainika uwepo wao kunazidi kuiangamiza matumaini ya Dr Magufuli ya kuingia Ikulu ya magogoni.

Mikutano ya Dr Pombe hasa ule wa Mbeya na Iringa kumeondoa uwezekano wa kupata 25% ya kura.Wananchi wamechoka na wameonyesha hisia zao mbele ya mgombea.Wakuu wa mipango wamewaza na kuwazua mbinu zote zimeshindwa ikiwemo ya RICHMOND na Ugonjwa wa mgombea wa UKAWA zimeshindwa kumsaidia Dr Pombe.Tayari baadhi ya wapiga debe wameanza kujiandaa kushindwa na wengine wapo mbioni kuitosha CCM muda wowote kuanzia sasa.

Mikutano ya mgombea wa UKAWA Tanga na Mtwara mikoa ambayo miaka yote ilikuwa ndio ngome ya CCM sasa imegeuka na kukitosa CCM jambo ambalo limemfanya Mwenyekiti wa CCM kufuta safari zote alizotegemea kuzifanya kabla ya kuachia madaraka kwa kisingizio cha kwenda kuaga.Mikutano isiyokwisha imekuwa ikifanyika bila kuwa na majibu ya uhakika.Col Kinana na genge zima la kampeni wamechanganyikiwa.

Taarifa zaidi zinadai timu ya wazee iliyotumwa kwa Prof Mwandosya imeshindwa kumshawishi.Prof Mwandosya kanuna hataki kushiriki katika kampeni za Dr Magufuli.

Source: Ngongo/Jamii Forums
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. NDIO WAKOME KUKUMBATIA MAFISADI WALIORUDISHA NYUMA MAENDELEO SASA WANAKIONA CHA MTEMAKUNI

    ReplyDelete
  2. Ccm itashinda tena kwakishindo mwaka huu

    ReplyDelete
  3. idiot! Hujui hata stadi za kampeni! Rudi kwa aliyekutuma kamwambie hizo ni propaganda zilizopitwa na wakati.

    ReplyDelete
  4. Mshahara wa dhambi, wa tz wameamka

    ReplyDelete
  5. Usituletee story zako za vijiweni HAPA KAZI TU!!!!!! Ndio nyie mlosema mkuu wa majeshi kalishwa sumu....mjiandae kuandamana, maana ndio zenu

    ReplyDelete
  6. Ni shidaaaa hzo propanganda tu hamna lolote John lazma aingie mjengoni

    ReplyDelete
  7. Ccm bye bye mimi na nyumba yangu na majirani zangu tunachagua mviiiiiii... Hapa mabadiliko tu, ccm mmeishiwa hakuna mwenye hadhi aliyebaki...hivi kikwete anavunja lini baraza la mawaziri na lini unaaga jeshi baba fanya fasta zimebaki siku chache watu tubadilishe mfumo

    ReplyDelete
  8. PROPAGANDA EEEH,MAGUFULI ANAPOSEMA ANASALITIWA NI PROPAGANDA ZA UKAWA.YAANI NYIE CCM MABWEGE KWELI KWELI.MBEYA WANAPOMUIMBIA MAGUFULI KUWA RAIS WETU NI LOWASSA,AA HIZO NI PROPAGANDA ZA UKAWA,MAGUFULI ANAPORUKA KIWEHU-WEHU TOKA JUU YAGARI YA WAZI KAHAMA HIZO NI PROPAGANDA ZA UKAWA.BADO SIKU 27 CCM ISAHAULIKE KAMA ILIWAHI KUA CHAMA-DOLA -BLOODY BAGARAS,CCM KWISHEN.

    ReplyDelete
  9. EEEEEEEE MUNGU TUONDOLEEEE HUUU MZIMU CCM TUMETESAKE VYAKUTOSHA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. CCM IMETUTESA NDIO... NA INAAMIA SASA UKAWA! NA ITAENDELEA KUTUTAWALA! WATU HAMUWEZI KUONA HILO! JIULIZE KIZIZI GANI KIMEWAKAMATA!! THINK THINK!
      SASA BILA KUJALI CHAMA, TUNAKWENDA KUMPITISHA MGOMBEA TUNATEMTAKA MWENYE WEREDI...DR. MAGUFULI.....YAANI MNAVOFIKIRI MKO VIJANA WENGI MNAOMSHABIKIA LOWASSA NDO HIVO TULIVO WENGI TUMEACHANA NA UKEREKETWA WA CHADEMA NA SASA TUNAMPA NGUVU MAGUFULI.. POLENI SANA MSIOTAKA KUUMIZA VICHWA VYENU KUFIKIRI VIZURI.. MMELIWA..... CHEZA NA LOWASSA WEWEEE!

      Delete
  10. watanzania wakichagua kutoichagua sisiem tumepona

    ReplyDelete
  11. YAANI OKTOBA 25! MTAKUBALIANA NA KUKATALIWA KUPINGA MATOKEO YA UTAFITI WA KUKUBALIKA KWA WAGOMBEA.....

    ReplyDelete

Top Post Ad