Unaambiwa Tukiacha Ufisadi Bandari zetu...Tanzania Haitahitaji Misaada ya Wahisani Kutoka nje

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kufichuka kwa kashfa za ufisadi katika Bandari kumedhihirisha namna serikali inavyopoteza mabilioni ya shilingi kupita Bandari ya Dar es Salaam pekee kutokana na uzembe na ufisadi wa watendaji.

Mapato yanayopatikana katika Bandari ya Dar es Salaam ni mengi mno kiasi kwamba kama serikali inakusanya na kusimamia kwa makini, hata maendeleo yanaweza kuonekana na hakutakuwa na haja ya kutegemea misaada ya wahisani ambayo mara nyingi ni ya kujidhalilisha.

Lakini bandari ya Dar es Salaam ni miongoni mwa bandari karibu 10 muhimu zilizopo nchini Tanzania, ambazo ‘zimetelekezwa’ na serikali na hivyo kuikosesha mapato mengi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwani kagame alivyowaambia mlifikiri alikuwa anaongopa

    ReplyDelete
  2. Sidhani kama zimetelekezwa. Wanajua vizuri tu, ni mtandao mrefu huo, nina uhakika Tezi Dume na Lodi Lofa wanahusika vizuri tu. Yetu macho.

    ReplyDelete
  3. Hahahahhahahha tezi dume, na lodi lofa...... Umenifurahisha sana

    ReplyDelete
  4. Taifa la wapiga dili

    ReplyDelete

Top Post Ad