Wema Sepetu Afunguka Kuhusu ‘Range’ Yake, Aeleza Kilichotokea

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya kuzagaa kwa taarifa katika mitandao ya kijamii pamoja na baadhi ya magazeti kuwa ile ‘Range Rover Evogue’ ya staa wa filamu, Wema Sepetu aliyojizawadi katika siku yake ya kuzaliwa imekamatwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwa madai alikwepa kulipa kodi, Wema amesema gari yake ipo nyumbani kwake.
Akizungumza na 255 katika kipindi cha XXL cha Clouds FM, Jumatatu hii, Wema alisema baada ya kukamatwa na (TRA) aliwaonyesha document za umiliki wa gari hiyo na baadae kumuachia.

“Gari ni langu, nimelinunua na kitu kilichobaki sasa hivi ni kulisajili tu, lipate namba za Tanzania,” alisema.
“Sasa hivi TRA wapo kila sehemu hata sasa hivi ninapoongea rafiki yangu amekamatwa na gari ina namba za Afrika Kusini. Kwahiyo sasa hivi TRA wanafanya kazi, jamani Magufuli sasa hivi ana Magufulika, kwahiyo tuache wafanye kazi zao. Yeah walinifuatilia, kwahiyo wanafuatilia kila gari ambalo lina namba ngeni. Kwahiyo ukiwa na document za kumiliki hawakusumbui, hapa tunapo ongea gari yangu ipo nyumbani kwangu, walihitaji document nimewapatia ndiyo maana wameniachia.,” alieleza Wema.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kizee alisema fake. kumbe ni roho ilikuwa inamuuma.

    ReplyDelete
  2. Zari alitamani kumuona Wema kashuka kumbe mwenzie anamchora tuu. endelea kulea mtoto wa Katunzi bi mkumbwa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. hovyooooo hata aibu huna labda wewe ni haram kwa baba yako uliyefikiri ni wa kukuza achana na maisha ya watu fuatilia ya kwako na kama una watoto wafuatilie si ajabu siyo wa kwako. ukimnyooshea mtu kidole kuna kinachoonyosha kuangalia kifuani mwako anza na wewe kujitathimini kabla ya wenzako

      Delete
  3. nani fake gari au DNA????????????????

    ReplyDelete
  4. fake ni yupi kati ya dna na maisa ya Madam. patamuuuuuuuuuuuuuu.

    ReplyDelete
  5. sijui kwanini watu wanaishi maisha ya kudanganya, ukweli uko wazi kwamba range aliazima tu kwenda kufanyia show off siku ile ya kuzawaliwa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Thibitisha, au wewe ndieulimuazimisha.

      Delete
  6. hilooo jinga kubwa Wema alikuja kuazima kwa baba yako au hanith wewe kama kitu hujui kaa kimya.

    ReplyDelete
  7. show off ya Madam ni really si ya kitoto wewe uliesema kaazima nenda kwake akuonyeshe docment za gari. mnahahaa tuu.

    ReplyDelete

Top Post Ad